Msaada baada ya diploma ya Nursing

obs2b

Member
May 31, 2016
13
2
Nisaidien kitu wataalam, ivi baada ya kusoma diploma ya nursing & midwifery je? Inawezekana kosomea degree ipi tofauti na nursing, ambayo ni nzuri zaidi,
Asanteni..
 
Binafsi nadhani ni bora uendelee huko huko kwenye nursing. Kwanza utakuwa na uzoefu wa eneo lako la kazi na pili haitakusumbua sana katika degree.
Labda ungetuambia ulipenda kwenda kozi gani, halafu ufahamishwe kama inawezekana au la.
 
Nakushauri ukachukue Theater manegament au public health.kama umeajiliwa na serikali ila usijaribu kuchukua degree ya ustawi wa jamii au lishe au ushauri nasaha maana utajuta utaendelea kupata na kupanda daraja kwa taaluma yako ileile ya dipl ya nursing.katika afya hakuna muundo wa hizo ajira.utakuwa umeengeza CV tu.
 
Kwa hiyo Mimi Mwenye diploma ya maendeleo ya jamii na sasa nasoma diploma ya nursing imekula kwangu¿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…