Msaada: App ya Adaway baada ya kuroot simu

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wadau nilidownlod hii adaway app baada ya kuroot simu yangu sasa Leo nilifungua hii app nimekutana na Ujumbe huu-ROOTED ANDROID REQUIRED(either the su binary could not be found or you did not allow root permission for adaway.this can happen when your device is not rooted.you can find information about how to root your device on CyanogenMod | Android Community Operating System or other android websites. Sasa ukifungua maeneo hayo utakutana na vitu vya kudownload ambavyo ni MB kati ya 214-230 naombeni kueleweshwa inataka nifanye nini!
 
Yani hapo sijajua,Mimi nimeroot simu na nikadownlod hiyo adaway vitu vingine sijavijua zaidi ya hapo
 
Ingia playstore kuna app inaitwa root checker kwa ajil y kuangalia simu kama ipo rooted uploadfromtaptalk1448215045529.png
 
Back
Top Bottom