Ahsante Kwa ushauri wakoKwa budget ya 1 million, nenda katafute Hp au Lenovo mpya kwenye box😊😊, yenye hizi sifa;
Core i3 ambayo ni 8th au 7th generation model yoyote katika hizo brands mbili lakini iwe generation ya 7 au 8 itakufaa kwa matumizi ya chuo.
Bei yake zinarange laki 8 mpaka 1M
Andika vizuri bana Haraka ya nini?Habari zenu wana jamvi
Kama kichwa kinavyosema hapo nataka kununua laptop Kwa ajili ya kujifunzia(chuo)
Laptop gani n nzuri Na zinakaa Na charge muda mrefu.
Budget yangu ni million Moja
Natanguliza shukrani zangu
1.3Ya kwako ulinunua shilingi ngapi?