Mrisho Gambo awasili na kutoa Pole nyumbani Kwa aliyekua Mbunge na Mwasisi wa Chadema Dr.Ndesamburo

Wachukua misukule, Serial Killers etc wanapenda kutembelea Crime scene! Ndesamburo hachukuliwi msukule. Kuna Maombi kabambe! Aliyefanya Ushirikina akitia mguu tu siku ya mazishi ananyanyuka!
Kwa hiyo kwenye uchaguzi mkuu uliyopita hamkupiga maombi hadi mshindwe kuchukua nchi?
 
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia ya aliyekua Mbunge na Mmoja wa wasisi wa Chadema Ndugu Philemon Ndesamburo.

Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.
View attachment 519195
Mnafiq mkubwa huyo
 
Na yeye kaenda pamoja na kuwakamata kutumia ule uwanja? Unafiki ni kitu mbaya sana
 
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia ya aliyekua Mbunge na Mmoja wa wasisi wa Chadema Ndugu Philemon Ndesamburo.

Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.
View attachment 519195

Arusha Moshi ni mwendo wa lisaa limoja usipojali vibao vya 50...ukijali ni masaa matatu....ole.wetu wanyonge
 
Gambo atakufa domo wazi laana anazozipata toka kwa watanzania zinamuathiri au atakufa aokotwe vipande vipande azikwe kwenye sanadarusi Mungu adhihakiwi
 
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia ya aliyekua Mbunge na Mmoja wa wasisi wa Chadema Ndugu Philemon Ndesamburo.

Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.
View attachment 519195
Mwambieni Msibani watu hawavai Nguo za Mazoezi
 
Watanzania waelewa wanafahamu ccm ni wabaguzi. Tunaomba wapinzani msiwabague Watanzania kwa itikadi zao, mtakuwa tofauti na mtapata credit.
 
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia ya aliyekua Mbunge na Mmoja wa wasisi wa Chadema Ndugu Philemon Ndesamburo.

Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.
View attachment 519195
Gambo ni kaimu RC Kilimanjaro
 
Hivi hata kwenda kutoa pole kwenye msiba lazima usindikizwe na Polisi? Alinipita hapo njian kwenye highway ya Moshi-Arusha na mV-8 mweusi, kumbe spidi na mbwembwe zote za polisi ndiyo huku.

Mytake: Yule aliyesema wakuu wa mikoa wapewe semina aliona mbali sana
Ujielewi rudi darasani usome uraia
 
Sasa kamvalia nani nguo za tizi? Hawa madogo bhana. Hivi hakuna dress code za matukio?
 
Back
Top Bottom