Mrema: Maalim Seif anafanya uhaini yafaa achukuliwe hatua haraka

hili zee limeandikiwa hayo maelezo .uso wake sijui una nini kana vile unabambuka bambuka magamba ananjaa kali sana nani haini yulevalieporwa urais au nani
 
Lyatonga mbona umechelewa kuongea,hadi nafasi za ukuu wa wilaya na ubunge zinakaribia kuisha.....au ulikuwa unasikilizia ile kesi ya ubunge wa vunjo ulio ahirisha.
 
Mrema yupo sawa kabisa huyu Maalim Seif mahaba ya waZnz yanafanya wasione uhalifu anaofanya.. Huyu anakufa na CUF maana CUF wamemgeuza mungu wao hakifa na wao kwa heri.

umepotoka sana lakini siwezi kukushangaa mana nyinyi ccm naskia ndani ya majumba yenu mumeweka picha za Julius Nyerere huwa munaenda mukizinyooshea mikono na kuziomba ili mutatue matatizo yenu ya kimaisha lakini ufahamu tu kwamba ni tofauti sana kwa wazanzibari na kiongozi wao Maalim Seif ambaye bado wanampa ridhaa ya kuongozwa na yeye.

Chuki zako kwa Maalim Seif hazisaidii chochote uko sawa na Mrema alivyoongea nikama munamchekesha mfalme tu. Maalim Seif ni kiongozi wa upinzani kwa upande wa Zanzibar na Wazanzibari wenyewe ndio wanampenda na ndio waliempa hatamu kuendelea kugombania kwa mapenzi yao chuki zako hazisaidii chochote ''It is good for nothing''
 
Maalim Seif ni mhaini soon atachukuliwa hatua!

Si mulimuandikia barua aje mumumuhoji na kumchukulia hatua kumuweka ndani lakini mlishindwa nini tena jana kufuta ule wito? kama unahisi serikali inachelewa tengeneza jeshi lako na ndugu mrema mukamshike.
 
Mrema yupo sawa kabisa huyu Maalim Seif mahaba ya waZnz yanafanya wasione uhalifu anaofanya.. Huyu anakufa na CUF maana CUF wamemgeuza mungu wao hakifa na wao kwa heri.
Amefanya nini? uchaguzi kasusia, mmeshiriki na mmeshinda. Mnataka nini zaidi?
 
Mrema ni kwishney kisiasa. Wakati wake pia umekwisha. Anachofanya ni kujiaibisha kwa Serikali tu. Hana washauri?
 
Back
Top Bottom