Mrema awachana wapinzani wanaomuita Rais Magufuli Dikteta

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810

Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party taifa Agustino Lyatonga Mrema amewataka wapinzani wa vyama vya siasa hapa chini kuacha kumzodowa, kumkashifu na kumzalilisha kwa kumwita dikteta rais John Pombe Magufuli kwani kufanya hivyo kunakiuka misingi ya utawala bora na haki za binadamu kwani kiongozi huyo anatakiwa kuheshmiwa kama mkuu wa nchi aliyechaguliwa na watu wengi.

Mrema ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati akiongea na vyombo vya habari kwani yeye yuko tayari kuburuzwa na wapinzani mchwara.
 
Baado anatafuta huruma ya ccm?
 
Nisingelipenda kutoa maoni kwa jambo hewa lisilokuwa na chanzo cha habri, na pia kama ni kweli sito stahajabu ya Mrema.....kama alivyo imba Roma kwenye wimbo wake wa Viva Roma...
 
Ah hahahaaaa huyu si aliombaga cheo kwa mkulu?
Hivi hajapewa tu hadi leo?naona anaendelea kupalilia maombi yake
 
Huyu akae tu kimya huko kijijini kwake anywe mbege.keshapoteana
 
N
Huyu Mzee amepoteza mwelekeo! Sishangai kwa nini wanavunjo walimkataa. Hapa anatengeneza mazingara ya JPM ampe kazi.
 

hivi ile kaz aliyoahidiwa bado hajapewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…