Mrejesho: Yamenishinda

Kasugugu

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
214
98
Habari za J'pili wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka jana nlikuja kuomba ushauri hapa jamvini juu ya mpenz wangu ambaye kiukweli nlishindwa nimchukulie hatua gani, hii ilikua ni kutokana na uwezo wake mdogo kitandani (sipend ku-expose mambo ya ndani ila hapa ilibidi) huyu mdada baada tu ya kukojoa alikua anageuka gogo na kuniacha nashughulika mwenyewe pale kati! Wadau mbalimbali walinishauri kuna mmoja alikuja PM na ushauri kuhusu lishe bora, nlijitahidi sana kumshauri huyu mtu kuhusu kupunguza matumizi ya fried foods (sana sana chips) ila ni kama zoezi lilimshinda maana kiukweli hakubadilika sana. Sasa juzi (8th april) nikampigia tukakutana pahala nikamwambia tu kuwa kuna vitu na-miss na nikiendelea kuwa nae ntam-cheat so achukue hamsini zake duuuuh kabla hata sijafika rum napigiwa simu na watu lukuki wananishauri nitaishia gerezani. Nliwapuuza kwakweli sababu ni maamuzi nmefanya na sintoyabadili
MY TAKE: Kipindi we mdada unataka kuridhishwa kitandani think of how u gonn do th same to you partner sio ukishakojoa unakuwa gogo

Huu ulikua mrejesho tu na wala sihitaji ushauri. Have a blessed sunday❤️
 
Yeah,lazima yakushinde maana Una ubinafsi.Wewe ndiwe unampa game mpaka unamfanya afike, akishafika ni lazima hamu imtoke so kuendelea na game ni lazima upate wakati wa kumhamasisha upya.

Ni sawa na kumlazimisha mtu Kula wakati ameshiba.Hawezi kuipata hamu ya chakula wala kukifurahia.

Kama ungekuwa unampenda basi ungefurahi kuwa kafika halafu unamuandaa ili afike tena wakati wewe uko tayari kifika naye.
Vinginenvyo unajitahidi kumbana asifike mapema mpaka utakapojisikia uko tayari kufika naye.
Lakini kama nilivyosema haya utayaweza kama tu unampenda.Na kwa nilivyokusoma humpendi.

Huu ushauri ni kwa ajili yako utakapokutana na wengine kwa kuwa kuhusu huyu tayari ushahamua na pia humfai wala humpendi.
 
We mkuu kasugugu, jitahidi umpende huyo dada! Wanawake wengi wakifika kilele hamu yakuendelea huwa inaisha! Halafu mkuu, kama malengo yako huyo dada ni kumuoa, oa kama tabia zingine zinakuridhisha kwa sababu mke si kitandani tu, mke ni zaidi ya hiyo!
 
Hahahaaa kwakweli lazima yamshinde khaaa! Maana we na mchezo mchezo na we...Mambo ya chumban yana ujuzi ndugu,sio vyakula tu. Kama walivyosema wadau hapo juu kuna mahala na ww ulikuwa unakosea sema ni vile uliconcentrate kwenye kuridhishwa ndo maana huwez kuona makosa yako
 
Mpeleke kwa kungwi au unyago ungekuwa umemsaidia kama ulikuwa unampenda kwa dhat. Ila kwa uamuz uliouchukua yaelekea ulikuwa humpendi .
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ntaufanyia kaz kwengine
 
Mkuu sio kwamba nlikua simpendi, nampenda sana ila hofu yangu kwa mwendo huu ntajikuta nam-cheat kitu ambacho kamwe staki kitokee kwny mahusiano yangu
 
Asante kwa ushauri.
 
Sasa mkuu tukifika kupelekana huko si litakua balaa??
Iwe balaa kwa nini kwa kuwa unaona hauridhiki mfundishe labda yy hajui kama haujaridhika kwanza inapendeza mkikojoa wote kwa pamoja Yaelekea ww ndo unakasoro kubwa sana. Kama umejua udhaifu wa mpenz wako kwann usimwambie.
 
Ha ha ha yaani atajinyonga na kuacha ujumbe kwamba wewe ndiye sababu ya kujinyonga kwake?....mkwala tu huo.
 
Mtoa mada utakuwa na kibamia fekero sio kwa joto hasira hili anyway ugogo huo inategemea na alivyokuchukulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…