Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Yaani wewe hata usinikumbushe ulivyokuwa unanitesa na vimaswali vyako tu, ushauri wenyewe hutoi ili mradi kunizingua.
yaani alikutesa eti anauliza umeachwa na wanaume wangapi yeye na bashite watuambie vyeti vyao wameficha wapi?
 
tena ni mtata si kidogo maana nilimfuata mpaka pm kumuomba kama kuna msaada anawezanipa anisaidie lakini wapi? Ndo kwanza anaendeleza maswali yake ya kikauzu!
 
Sijajua,ila nahisi mfumo wangu wa maisha uliniathiri.
Jitahid ujue tatizo lilikuwa wapi maana unaweza endelea kuishi Na tatizo halafu ukafurah kuvuliwa chupi then baada ya muda tatizo likaibuka tena..!
 
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri nilivyoweza.Zifuatazo ni hatua nilizochukua katika kutatua tatizo:-

a)Kwa kuwa baadhi ya wadau waliniambia kuwa yamkini nina jini mahaba,hatua ya kwanza kabisa nilienda kuombewa lakini pia nilimwomba mwenyewe Mungu aniondolee na aniepushe na nguvu zozote za giza zinazosababasha hiyo hali.

b)Kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa inawezekana sipati muda wa kupumzika na nina msongo wa mawazo,niliamua kusimamisha shughuli zangu zote za utafutaji wa pesa (nimejipa likizo ya wiki 2) na kuhakikisha kuwa kichwa changu sikisumbui kwa mawazo ya aina yoyote ya kukiumiza,muda mwingi ninautumia kufanya yale ninayoyapenda hasa kusikiliza muziki.

c)Baadhi ya wadau walinishauri niangalie aina ya vyakula ninavyokula,nilijiwekea ratiba ya kula mchemsho wa pweza,ndizi na nyanya chungu kila siku.

d)Baadhi ya wadau walishauri ulaji wa vitu mbalimbali kama mdalasini/vitunguu/asali/tende n.k. Naam hapo ndipo paliponiumiza kichwa kwani baadhi ya vitu nilishavitumia huko nyuma lakini havikunipa matokeo chanya,vingine niliona vinahitaji nivitumie kwa muda mrefu zaidi na kwa mishe zangu nikaona sitaweza hivyo niliamua kufanya yafuatayo:-
Niliamua kutengeneza juisi yenye mchanganyiko huu; tende, lozi, mdalasini, zabibu kavu, kitunguu maji, kitunguu saumu,kokwa la parachichi, tangawizi, asali mbichi na maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji. Juisi hii nainywa kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala.

Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.

Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @kulubuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, Sonko Jr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
Ebu njoo nihakikishe kama kweli limeisha tusijetukasumbua watu tena
 
Nieleweshe lozi ikoje?, msaada wako tafadhari!
 
Duuu
 
Back
Top Bottom