jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,264
Kizungu sasa[/QUOTE/]
Wanadamu,ambao wanasifa ya kipekee ya kuwa na uwezo WA kujifunza kutoka katika uzoefu wa wengine,PIA ni wanatambulika Kwa halo yao ya wazi ya kuamua kutojifunza kutokana na uzoefu wa wengine.