- Thread starter
- #21
mmmh! wee radika! si Makonda anatafuta wasambazaji na watumiaji wa UNGA sasa shaka ya nini wapendwa!wenzio wanausoma huu uzi lakini hawana furaha operation makonda huku mjini sio pazur
mmmh! wee radika! si Makonda anatafuta wasambazaji na watumiaji wa UNGA sasa shaka ya nini wapendwa!wenzio wanausoma huu uzi lakini hawana furaha operation makonda huku mjini sio pazur
Usinichekeshe radikawenzio wanausoma huu uzi lakini hawana furaha operation makonda huku mjini sio pazur
hahahaha, JFUsinichekeshe radika
tehe tehe tehe yaani tayari umesisimkwa wee APEFACE hahahahahah, kwikwikwikwani wangeongeza ZI mbele ya hilo jina ingekuwaje....yani aitwe NYEGE-ZI...angalau tungejua ni kituo cha mabasi...lakini NYEGE linafanya nisisimke mwili..............
hahahahaahahah, apetaitiSi unajua mtindo wa watu kuitana majina kivingine? Mfano Mohamed kuwa Mudi au Saidi kua Side? Haya tuangalie Nyege ataitwaje.
-Ngale
-Kichupa
-Ashki
-Hamu
-Ukwasu
-Ugumu
-Kutu
-Midadi
Eeh mengine jazieni wadau.
Ha ha ha umeuwa aiseeShuleni nako wanoko tu, si wangemshauri mama kwenye mambo ya makaratasi, kama cheti cha kuzaliwa na jina la shule na document liwe Nyegezi lakini aitwe Nyege ili kufurahisha wahenga.
Uliuliza ukajuzwa maana ya jina hilo kwa kilugha chaoKuna mama yeye aliambia kuwa yani mimi huwa huyu mtoto akija kucheza nyumbani kwangu na wanangu namwambia haraka sana NYEGE rudi kwenu maana naona aibu pale wanangu wakianza, weee NYEGE nipe mpira wangu, au mama NYEGE ni mchokozi"
Nitasema kweli daima ndugu yangu chief1 sikuuliza, ila hata wenyeji wanasema wanapata ukakasi kumuita huyu kijana NYEGEUliuliza ukajuzwa maana ya jina hilo kwa kilugha chao
Mleta thread nalipenda sana jina lako
Bila shaka mizimu ingechukia na kumdhuru kijana NYEGE kwa kuwa mganga aliwaambia kuwa jina hilo litanatakiwa kuwa endelevu kinyume na hapa mtoto atakufaShuleni nako wanoko tu, si wangemshauri mama kwenye mambo ya makaratasi, kama cheti cha kuzaliwa na jina la shule na document liwe Nyegezi lakini aitwe Nyege ili kufurahisha wahenga.
Haaaa,haaaaaaaa bado tuko utumwani
Hiyo mizimu ingejuaje kuwa kwenye daftari lake kumeandika Nyegezi badala ya Nyege? Au kwenye cheti cha kuzaliwa? Katika kuitwa wataendela kumuita tu hivyo Nyege lakini all paper work ziwe Nyegezi,hahaahahahah hata mie napenda la kwako Mapovu
Bila shaka mizimu ingechukia na kumdhuru kijana NYEGE kwa kuwa mganga aliwaambia kuwa jina hilo litanatakiwa kuwa endelevu kinyume na hapa mtoto atakufa
Umenena sawa lakini sasa mtoto NYEGE yuko darasa la nne inawezekana kubadili kumbukumbu zake hapo shuleni?Hiyo mizimu ingejuaje kuwa kwenye daftari lake kumeandika Nyegezi badala ya Nyege? Au kwenye cheti cha kuzaliwa? Katika kuitwa wataendela kumuita tu hivyo Nyege lakini all paper work ziwe Nyegezi,
Hizi zabadilishwa darasa lolote, hata form oneUmenena sawa lakini sasa mtoto NYEGE yuko darasa la nne inawezekana kubadili kumbukumbu zake hapo shuleni?
Hizi zabadilishwa darasa lolote, hata form one