Mradi wa u meme vijijini REA Kijiji cha Namwawala kuna tatizo

infantrier

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
343
126
Wanajamii kuna huu mradi wa REA ,Umeme Vijijini katika Kijiji cha NAMWAWALA Wilaya ya KILOMBERO nguzo za umeme mkubwa zimepitishwa kwenye maeneo ya nyumba za watu, badala ya kupitisha kandokando ya Barabara kuu.

1. Naomba wataalamu wa umeme na wengine mtufahamishe madhara ya huu umeme wa KV kubwa kupitisha kando ya nyumba za watu.

2. Naomba Viongozi wa juu wafuatao Mbunge waJimbo la Mlimba, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.

Kamishina wa Nishati, pamoja na Mameneja wa TANESCO Wilaya ya Kilombero na Mkoa wa Morogoro, Wafuatilie kwa makini huu mradi kuna dalili ya rushwa kati ya Viongozi wa Kijiji na msambazaji (Contractor).

Nawasilisha

 
Mbona mjini zinapita kando za Majengo.

Nenda mitaa ya Uhuru kajionee!
 
Naomba kupata orodha ya vijiji vinavyohusika kwenye mradi huu kwa mkoa wa Simiyu
 
Usimamizi ni dhaifu......wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara katika kijiji cha NAMAJANI umeme umewekwa kwenye Hospital ya mtu binafsi na Kuacha Hospital ya KATA wakitumia Vibatari kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wengine.........Uongozi wa Kata, Mbunge wa Ndanda, Mganga mkuu wa wilaya yupo WANA KODOA MACHO TU........hii ni shida........
 
Tatizo jingine katika hayo maeneo ya Wanakijiji,ilimopita hiyo line wamekata mimea miti ya matunda kama Miembe, Michungwa,Minazi na miti ya mbao kama mitiki, Lakini hakuna aliyelipwa fidia hata mmoja.
 
Hii siyo hatari kweli? Huu umeme mkubwa halafu Nyaya zipo wazi.
 

Attachments

  • 20170116_105424.jpg
    193.7 KB · Views: 33

hospital ya MTU binafsi inamhudumia nani
 
Kwa maelezo ya wote.inaonekana elimu imahitajika hulo.kwa kuwa umeme ambao.haupiti kwenye.makazi ni.laini.kubwa ha usafirishaji hizo.ndogo zikipita.mbali utaungamishiwaje.umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…