murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,049
- 635
Propaganda zako zimechooooka...#KaribuMagufuli1. Shareholders walikuwa ni private individuals, one of them Hatari sekoko hakuwa mfanyakazi wa umma, na aliyekuwa mfanyakazi wa umma alikuwa mere gov spokesperson. Wapi umeona spokesperson anafanya biashara nyeti kama hizi kwa niaba ya serikali?
2. Labda zilikuwapo, hebu mention the restriction placed on Rwanda zilizozuia transactions hizi kufanyika kupitia vyombo vya serikali vinavyojulikana.
3. The source of your reply is......