Mpishi anapatikana

ADENT

Member
Mar 10, 2018
29
57
Mpishi anapatikana DSM anajua kupika vyakula vya aina mbalimbali.
Ni mzoefu wa kupika katika shughuli mbalimbali pia chakula kinapikwa katika usafi wa hali ya juu Na gharama zake ni nafuu sana
Anasambaza vyakula katika ofisi mbalimbali kwa oda Na bei ya vyakula ni nafuu sana watu wa hali zote wanaweza wakamudu.
Kwa maelezo zaidi Na mawasiliano njoo pm.
 
Back
Top Bottom