Mpaka leo sijajua kwanini watanzania walimchagua Magufuli!

Jpm kwa kweli mpaka leo cjamuelewa kabisa,utawala wa maigizo mengi,ahadi za uongo,huku akichezea akil za watz waliopumbazwa na elimu duni ya serikal ya ccm.Kwa stail hii ya bidhaa kuadimika hadi mafuta ya kupikia yameadimika,ujue hapo nchi hii kwisha habar yake.
 
Ahadi yake ya kuwanyang'anya viwanda wawekezaji waliinunua viwanda wakashindwa kuviendeleza,ahadi hii iko wap,aliwapa cku 100,amerudisha hata kimoja?
 
kwa kweli ingekuwa haki kama katba ingesema mpiga kura at least awe na degree moja maana MTU anaenda kupiga kura hats haelewi kwanini anaenda kufanya hivyo matokeo yake vizazi vijavyo vitatulaumu kwa nn tumekubali kuendelea kuiacha madarakani na hii nchi kwa kpnd hicho itakuwa kama burundi. ila wanzibari mapambano yanaendelea ule muda umebaki mwezi mmoja!;
Kwa sababu wewe una digrii moja au zaidi? Ndio unaona unaelewa sana? Wazee wetu waliopigania uhuru hawakuwa na formal education lakini walikuwa waelewa sana. Wewe ni mtumwa.
 
Labda walichoka na ufisadi wakadhani atamaliza tatizo la ufisadi. Lakini je, mafisadi ni watumishi wa serikali au wanasiasa? Labda walidhani atainua uchumi, kwa mkakati upi? Kwa kujenga viwanda? aliwapa siku 30 waliotelekeza viwanda, alafu???

Labda watanzania walichukia umasikini. Sasa? kuondoa umasikini ni kuvunja nyumba za watu na kufukuza masikini mjini? Namaanisha omba omba na dada poa, au kufukuza wacheza pool wakati unapowapeleka wakalime hakuna ardhi???

Labda watanzania walichoshwa na zomea zomea bungeni. Hivi dawa ya zomea zomea bungeni ni kufungia bunge lisionekana? Labda watanzania walichoshwa na bei mbaya za bidhaa. Hivi dawa ya kushusha bei za bidhaa kama sukari ni kuzuia sukari toka nje?

Labda watanzania walichukia ukubwa wa serikali na matumizi makubwa serikalini. Sasa je? wakuu wa mikoa wamepungua? Ma-Dc je? mwenge? misafara ya viongozi? mashangingi?

Labda kuna waliodhani atabomoa mfumo wa chama tuanze na moja. Hivi hawa hawajakata tamaa? wamechelewa! Hussein Mwinyi, Nape, Binti ya Bulembo, Hapi, Pole Pole, January, Mpanju, Migiro etc wanafanya nini kati ya wateule wa rais?
Mkuu kuwepo kwa Magufuli siyo takwa la wana nchi bali takwa la viongozi ccm na selekali wasiofika hata 500, kundi hilo lingeamua Kumteua Mtu yeyote na kumsimamia akawa rais, uchaguzi ni mhuri tu kwa taratibu za uchaguzi tulizo nazo.
 
Hakuchaguliwa wewe hukuona masanduku ya kura....... Hewa....
 
Sikumchagua na kama ningchagua mingejuta sana
Haiwezekani mtu hataki wapandisha masikini wawe matajiri yeye anataka wote tupate shida za umasikini khaaa
Mtu hana vision yeye anaenda tuuu kama dcm iliyokata cbolt
 
Labda walichoka na ufisadi wakadhani atamaliza tatizo la ufisadi. Lakini je, mafisadi ni watumishi wa serikali au wanasiasa? Labda walidhani atainua uchumi, kwa mkakati upi? Kwa kujenga viwanda? aliwapa siku 30 waliotelekeza viwanda, alafu???

Labda watanzania walichukia umasikini. Sasa? kuondoa umasikini ni kuvunja nyumba za watu na kufukuza masikini mjini? Namaanisha omba omba na dada poa, au kufukuza wacheza pool wakati unapowapeleka wakalime hakuna ardhi???

Labda watanzania walichoshwa na zomea zomea bungeni. Hivi dawa ya zomea zomea bungeni ni kufungia bunge lisionekana? Labda watanzania walichoshwa na bei mbaya za bidhaa. Hivi dawa ya kushusha bei za bidhaa kama sukari ni kuzuia sukari toka nje?

Labda watanzania walichukia ukubwa wa serikali na matumizi makubwa serikalini. Sasa je? wakuu wa mikoa wamepungua? Ma-Dc je? mwenge? misafara ya viongozi? mashangingi?

Labda kuna waliodhani atabomoa mfumo wa chama tuanze na moja. Hivi hawa hawajakata tamaa? wamechelewa! Hussein Mwinyi, Nape, Binti ya Bulembo, Hapi, Pole Pole, January, Mpanju, Migiro etc wanafanya nini kati ya wateule wa rais?
hivi kumbe mmeanza kukubali magu alishinda kihalali.... magu kawachanganya...kamua baba Jpm
 
Umeme umeshuka bei, watoto wanasoma bure, TRA inakusanya Trillion kila mwezi, ujenzi wa kinyerezi 2 umeanza, ujenzi wa flyover umeanza, MSD kufungua maduka yake , vitanda kujaa mhimbili, PAYE kuwa 9%.

Mwezi Wa nane tunaanza ujenzi Wa reli ya standard gauge.

Haya ni mafanikio ya serikali kwa miezi 6 tu.

Nyie hata kumshawishi Mbowe atangaze mshahara wake mmeshindwa!!!!!! Basi zungusheni mikono tu.
Ila bado vijiti toothstick tunaagiza nje
 
Sijawahi kuina post ya kilofa kama hii! Sijui alijaribu kutumia japo 1% ya akili kabla hujaandika? Kuna kazi kweli kuelimisha watu kama hawa!
Akili manake nini mpaka ushindwe kuamini kama katumia hata 1%?. Hivi uwezo wa kufikiri unategemea % ngapi unatumia akili? Hii akili ni yake au yako au ya kila mtu?
 
Mkuu kuwepo kwa Magufuli siyo takwa la wana nchi bali takwa la viongozi ccm na selekali wasiofika hata 500, kundi hilo lingeamua Kumteua Mtu yeyote na kumsimamia akawa rais, uchaguzi ni mhuri tu kwa taratibu za uchaguzi tulizo nazo.

basi tulishukuru hilo kundi la wanaccm kwa umahiri wao wa kutuchagulia kiongozi bora
 
Unapoandika Uzi kama huku inabidi kichwa chako inamisha chini kwa aibu
 
Back
Top Bottom