Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,179
- 1,579
Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini.
Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha.
Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha.
Zitto hajaiacha ACT mpaka aporomoe kule Zanzibar.
Sasa Mbowe aliyeimbiwa tuvushe sijui nani; alitegemewa na wengi akiweke chama kwenye mikono ya damu changa!
Lakini kwa dalili zilizopo haachii ngazi hadi wamegawana fito za nyumba.
Kiongozi gani anayeamini bila yeye haiwezekani kusonga mbele?
Ingwa sikubaliani Chama kuwekwa mikononi mwa mamluki wanaoingia na kutoka.
Lakini mbona damu changa zipo zisizonunulika hata kwa dola?
Hapana, kuna shida fulani kwa huyu asiyestaafu.
Mtakuja kuniambia tukijaaliwa na Mwenyezi.
Msidhani la bandari nimeshalizoea, la!.
Inauma kwa kweli.