Morogoro Kingilwora pakoje kiuchumi na huduma za jamii?

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,108
1,854
Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje?

Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo

Naomba muongozo
 
Kwanza kabisa wakati unasubiria muongozo, rekebisha jina la hiyo sehem, ni Kingolwira

 
Kingolwira Morogoro Tanzania
Ni Unapotoka Mkambalani Ikiwa Unatokea Dar Es Salaam
Ni Mwanzo Wa Manispaa Ya Morogoro, Maji Yapo Ila Kuna Nyakati Shida Hayapatikani
Hapo Kuna Shule Ya Msingi, Kituo Cha Afya Ambacho Kinalaza Wagonjwa Na Huduma Nyingine. Mahakama Ya Mwanzo Ipo Hapo, Kituo Cha Police



Kutoka Hapo Huduma Ya Daladala, Na Coaster Toka Dar Es Salaam, Ardhi Yake Kuna Maeneo Ni Udongo Mwekundu, Ni Kata Hiyo Kwa Upande Wa Utawala
Mpaka Junior Seminary, Cate Hotel, Tafori



Kituo Cha Kupokea Umeme Wa SGR Kipo Hapo Eneo La Pangawe Pia Kuna Barabara Ya Kwenda Kisaki Kwenye Bwawa La Mwalimu Nyerere
Gereza La Wanawake, Mkono Wa Mara
 
Pako vizuri kimakazk japo hapaja changamka kama njia ya Dodoma Kihonda mkundi dakawa na dumila
 
Back
Top Bottom