wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 773
Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji.
Lakini utabiri unaonesha kwamba badae Mongella atateuliwa kuwa waziri wa OR-TAMiSemi huku Mhe. Mchengerwa akipewa wizara ya ulinzi ambayo ni nyeti zaidi kutokana na ukaribu na umuhimu wake Kwa serikali ya awamu ya Mhe. Samia.
Period.