Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 333
- 541
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naomba kujua wale waliosafiri kwenda kufanya kazi au kusoma nje ya nchi, laini zenu mnafanya vipi hadi zisifungiwe na kuendelea kuzitumia pale mnaporejea nchini.
Kawaida laini inafungwa ikipita miezi mitatu bila ya kutumia, sasa hakuna njia ya kuzuia kufungiwa kama umesafiri.
Kawaida laini inafungwa ikipita miezi mitatu bila ya kutumia, sasa hakuna njia ya kuzuia kufungiwa kama umesafiri.