bank wanauziana wao kwa wao nishashuhudia hilo azania, kuna dili kati ya wale madalali wa benk na watu wa mikopo, kuna kipindi nilikua nina mkopo azania, nikawa ofisini kwao depatment ya loan, wakaja madalali kuna nyumba ilikua inauzwa bei chee, watu wa bank kuna matajiri wao walikua wanawapigia simu hapo mimi nilikuwepo, yale matangazo yao sijui nyumba inauzwa na nini ni kutimiza tu vigezo na masharti, ukienda wewe utaambiwa ishapata mteja tayariBenki huwa wanauza nyumba mbovu?[HASHTAG]#francoo1[/HASHTAG]:
huwa hawauzi kwa mnada?
huwa wanauziana wao kwa wao?
jibu hayo matatu#