Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,009
- 28,105
Proove umbeya ili wewe tukutoe kwenye umbea, otherwise wewe ni mmbeya wa kiwango cha uzamivu!!!!!
sawa mkuu
Proove umbeya ili wewe tukutoe kwenye umbea, otherwise wewe ni mmbeya wa kiwango cha uzamivu!!!!!
Hahahaaaa,watakutana USO kwa USOKwahiyo utakuwa ni mkutano wa wenye vyeti feki?
Bonta Maarifaa kkk shida mkuuTokomeza zero.!!
Niko makini mkuu. Angalau umekiri kwamba Bashite hastahili kuwa ofisi ya serikali, bali anaweza kuwa Startv!Mkuu kusema
Uwe unasoma mtiririko wa thread,usiwe unapenda kudandia treni kwa mbele dada
Duh!Nyanda ana cheti feki,mashauzi yake tu
utakua fakeViva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv
Basi feki iko katika kila fekiNa wasikilizaji watakua ni fake tu
Kwa hiyo unatakajeKuna taarifa inasambaa mitandaoni kwa kasi kutoka kwa mtu anayejitambulisha kwa jina la bundala,mtumishi wa sahara media akidai kwamba mahojiano yatakayofanyika na bwana bashite hapo STARTV yanaweza kumuumbua mmoja ya watangazaji ambaye inasemekana ana vyeti feki!
Katika andiko hilo ametahadharisha mambo mengi pamoja na hilo
Waandishi walioandaliwa kufanya mahojiano na makonda,kwa mujibu wa tangazo linalozunguka mitandaoni, ni Leonard Mapuli na Aloyce Nyanda
Ni nani kati yao ana vyeti feki?
Mm nimekuelewa******Ndege wafananao………
mapuli aka manyeto
Hahaa iv star tv ipo maana ata namba yake kwa remont yangu mtto kaingoaViva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv