Tetesi: Mmoja kati ya waandishi atakayefanya mahojiano na Makonda Starvt ana vyeti vya kughushi!!!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,093
25,840
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni kwa kasi kutoka kwa mtu anayejitambulisha kwa jina la bundala,mtumishi wa sahara media akidai kwamba mahojiano yatakayofanyika na bwana bashite hapo STARTV yanaweza kumuumbua mmoja ya watangazaji ambaye inasemekana ana vyeti feki!

Katika andiko hilo ametahadharisha mambo mengi pamoja na hilo

Waandishi walioandaliwa kufanya mahojiano na makonda,kwa mujibu wa tangazo linalozunguka mitandaoni, ni Leonard Mapuli na Aloyce Nyanda

Ni nani kati yao ana vyeti feki?
 
Ila Tanzania tulikua na fursa ya kupata maendeleo kwa haraka sana lakini tutachelewa kwa sababu ya watu wachache wanaozidi kupandikisha ujinga kwa wanajamii wajinga.

Yaani mwananchi mjinga anazidi kuwekewa ujinga badala ya kumwelemisha.
 
Bavicha mnaweweseka sana na Makonda!Nyie mlisema hamtasikiliza wala kufuatilia wala kuntaja,
Vyeti feki ni serikalini tu,sekta binafsi hakuna hiyo kitu,watu wanapiga kazi kama kawaida
 
Bavicha mnaweweseka sana na Makonda!Nyie mlisema hamtasikiliza wala kufuatilia wala kuntaja,
Vyeti feki ni serikalini tu,sekta binafsi hakuna hiyo kitu,watu wanapiga kazi kama kawaida
Kotekote mkuu
 
Viva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv
BBC dira ya dunia ndio kipindi pekee watu huangalia, otherwise hiyo TV is nearly to be declared bankrupt.
 
Kwa muhindi hataki hata kukiona cheti chako,kwanza hakijui halafu yeye cha nini?
STARTV hakuna muhindi,jaribu kwenda kwa bakhresa au manji ukaombe kazi ya chief aacountant wa makampuni ya quality group au bakhresa,akikuomba cheti umwambie sina,Siku hiyo hiyo anakuajiri
 
Viva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv
Leo utakuwa umelipwa elfu kumi halafu umeambiwa chenji elfu 3 ubaki nayo nawe unywe hata kakonyagi kadogo wikiendi hii.tunajua hiko ni kituo chenu kama radio Uhuru,mwambieni tu awaombe wanahabari radhi ona anakimbia vituo kibao vilivyo jijini kwakwe wakati alidai mji ni wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…