Huyu MZEE Ailkuwa ni chaguo la MUNGU ndio maana ktk kipindi chake hukuwahi kusikia raia wanalalamikia serikali yake . Hata baada ya kustaafu ameendelea kuwa KIPENZI CHA WATANZANIA. Kuhusu kupigwa kofi / kibao hilo ni tukio la KIUENDA WAZIMU vichaa wako ktk kila jamii . Hata Mitume wa MUNGU walipigwa sembuse Mzee wetu ?? Hata baada ya kupigwa ulisikia alisema lolote si alinyamaza kimya kwa BUSARA NA HEKIMA ??.Hicho ni kipimo cha uadilifu wake. Mwembe usio na MATUNDA uliwahi kuona UNARUSHIWA MAWE ??.Lakini ndie kiongozi mstaafu aliepigwa kibao