Mliokwepo Morogoro miaka ya 90's mnawakumbuka Wasanii na Makundi haya?

Tafuta album ya II PROUD ya miaka ya 90 albam inaitwa SIKU ndo utajua sio tu AFANDE kawai kupanda stejini ila kawai pia kuingia studio kabla ya hao waluguru wenu
Kuwa Moro haimaanishi ni mluguru. Mbona wa Moro tupo kibao na sio waluguru/wapogoro
 
Sallam kwa sasa ni meneja wa WCB.

Peter Moe ni DJ wa clouds fm.

Puzzo Makassy alikuwa Sweden .

Swedi kafulia.

Boy G kafa kwa gongo za kichangani.

Nash G anaangaika tu na dunia.

Squeezer kafulia.

Crazy P kwa sasa O Ten anauza chips mjini hapa.

John Dilinga anafanya biashara pia anapiga mziki kempisky kila weekend.

Wengine sikumbuki ila kiboko yao wote alikuwa Mc Ndolo marehemu aliyekufa kwa ngoma. Mnyawezi mipaka hivyo.

!
!
Umetisha sana..... Enzi hizo nilikuwepo forest hill. Kuna bwana mmoja pia alikuwa anaitwa Perez kama sikosei huyu bwana konseti la mwisho kabisa ambalo na Mr. Two alikuwepo alikuwa kagombana na demu wake, basi yule demu alikuwa anatakiwa kuimba na alipopanda stejini aliimba unbreak my heart basi nakumbuka huyo bwana Perez alitoka nyuma akiwa na kaua anaenda mbele kumtunza demu wake na wakayajenga hapo hapo. [HASHTAG]#forest[/HASHTAG] ilikuwa ya kinyamwezi sana kipindi hucho
 
Mkuu umenikumbusha mc ndolo,dah kweli ardhi imekula vingi...damn boi g sakala sakala katika hii maswala..Rest of peace both of them
 
Simjui afande wakati tumemsaidia sana kufanya promo nyimbo zao redioni na sugu??..any way usitake kunijua sana nipotezee tu..baki na kandeo wako!

umsaidia kufanya promo ya wimbo upi? Nikianguka? Afande anasema?

Wacha nikupotezee tu maana hapa watu wamezungumzia era ambayo ata Fm ilikuwa moja na haikuanza kupiga bongofleva. Afande wakati huo hakuna anaemjua si kwenye concerts wala tushikamane studio.
 
!
!
Umetisha sana..... Enzi hizo nilikuwepo forest hill. Kuna bwana mmoja pia alikuwa anaitwa Perez kama sikosei huyu bwana konseti la mwisho kabisa ambalo na Mr. Two alikuwepo alikuwa kagombana na demu wake, basi yule demu alikuwa anatakiwa kuimba na alipopanda stejini aliimba unbreak my heart basi nakumbuka huyo bwana Perez alitoka nyuma akiwa na kaua anaenda mbele kumtunza demu wake na wakayajenga hapo hapo. [HASHTAG]#forest[/HASHTAG] ilikuwa ya kinyamwezi sana kipindi hucho

Unakumbukumbu nzuri sana. Perez Komanya wanyamwezi wa kitambo sasa hivi kwisha habari yake mambo ya kutegemea mali za mshua .

Ilo tukio nilikuwepo nikiwakilisha na machizi wangu wa BDP usikute wewe ni classmate basi tu jf inafukia mengi. Dah Sugu alikuja na gari yake anadrive mwenyewe Sugu alikuwa star sana bhana.
 
Muda sijui umeenda wapi? Perez alikuwa mnyamwezi sana aisee. Kama sikosei ilikuwa 1996. Kuna bwana mmoja nakumbuka alipanda kuimba ngoma ya Tupac alikuwa kajichora chora kama Tupac tu alivaa kilemba nini daaaah. Hatari Sana kipindi hicho wanaimba tu hata bure
 
Ndolo ananyoa panki lake lina ngazi ngazi kama fresh prince moro ilikuwa na wanyamwezi sana.

!
!
Mc ndolo mpaka anafariki alikuwa mnyamwezi. Alikuwa mjanja sana yule bwana alikuwa ananyuka pamba ambazo daaaah jamaa alikuwa bishoo bishoo kweli ngoma isingeweza kumwacha. Nilikuwa na Kaka yangu nae alikuwa anashika kipaza kipindi hicho alikuwa anaitwa Papo Dilo au kifupi tu Dilo. Ni Kaka yangu kabisaaa
 
umsaidia kufanya promo ya wimbo upi? Nikianguka? Afande anasema?

Wacha nikupotezee tu maana hapa watu wamezungumzia era ambayo ata Fm ilikuwa moja na haikuanza kupiga bongofleva. Afande wakati huo hakuna anaemjua si kwenye concerts wala tushikamane studio.

!
!
Sikumbuki kama afande sele alikuwepo kwenye harakati zile. Dula Soul yes nakumbuka kusikia jina hili japo sikumbuki alikuwa anafanya nini. Nakumbuka superstar by that time sugu, au two proud wengi e nakumbuka walikuwa wa natoka moro
 
Sallam kwa sasa ni meneja wa WCB.

Peter Moe ni DJ wa clouds fm.

Puzzo Makassy alikuwa Sweden .

Swedi kafulia.

Boy G kafa kwa gongo za kichangani.

Nash G anaangaika tu na dunia.

Squeezer kafulia.

Crazy P kwa sasa O Ten anauza chips mjini hapa.

John Dilinga anafanya biashara pia anapiga mziki kempisky kila weekend.

Wengine sikumbuki ila kiboko yao wote alikuwa Mc Ndolo marehemu aliyekufa kwa ngoma. Mnyawezi mipaka hivyo.

!
!
Huyu seed nadhanialikuwa anakaa mtaa ya railway Road kule
 
aiseeeh....mitaa ya misufini jirani zao manzese, mafiga pale shule na watoto wa vibandani, kutumia mjani kule kawaida, niliwahi kuja moro maeneo ya manzese ni uswazi aiseeh, kabali nje nje. kumbe ndiyo maana afande yupo vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom