Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi maafisa elimu wa Halmashauri sita

kuna post moj niliona kweny mtandai mmoja MH: mmoja aliandika akasema nch inapoelekea ni kwamba kila kiongoz alioka katika nafac nzur anataka kumfukuza alioko chini yake
 
Huyu jamaa mi nilishasema hafai! Anatafuta sifa! Penye muwasho kidogo tu yeye anakamua akifikiri ni jipu!
Mi nahisi hili li Muongo ni jipu pia tena kubwa lililojificha kwa kujifanya kutumbua wengine!

MWANZA ilikua hivi hivi, mpaka umbea aliousikia Mtaa wa Makoroboi aliufanyia kazi kwa kutumbua eti bila kufanya uchukuzi wa kina! Kweli huyu jamaa ni empty kabisa!

Kauli ya Mheshimiwa Rais ya utumbuaji majipu yeye kaielewa tofauti.
 
Mtumishi bora ni hewa,apewe nani? Mkuu wa mkoa hajui kitu gani kiko hot kwa sasa. Uhakiki wa watumishi ndo habari ya mujini.
 
Safari hii mbona haya madaraka waliyopewa na mwenye nchi ni makubwa mnooooo. Kwa maamuzi yasiyo na tija mwishoe watapokwa na aliyewapa.
 
Kusimamishana kazi hovyo hovyo tu bila sababu za msingi,kila mkuu wa mkoa basi anasimamisha watu kazi hii ni uonevu.
 
Acheni Mkuu wa mkoa afanye kazi. Nchi ilikuwa ya wachache sasa ni sisi site, Mkuu wa mkoa chapa kazi achana na haya maneno ya watu wasioitakia nchi hii mema.
 
hahahaaaa hawa viongozi wetu wa kuteuliwa hawa, labda tungejua kiwango chake cha elimu
 
Hawa wateule wa JPM nao sasa kero.Jamani sasa zawadi zitolewe tu hata kama watu hawakufikia vigezo.Kwanza amekaa akaongea nao?Hivi Mulongo hajui kwamba watendaji wengi wa serikali ni majipu.Nani anafikia vigezo, mbona hamna.
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa maafisa elimu wa halmashauri sita za mkoa wa Mara huku Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri hizo.

Watakiwa kujieleza baada ya kushindwa kutoa zawadi za watumishi bora wa idara ya elimu kwa mwaka mmoja hadi miwili hatua ambayo amesema inachangia kushusha ari ya utendaji wa kazi kwa watumishi hao.
 
ok kama hawakupewa si angeweka utaratibu sasa uanze wa izo zawadi na yeye akiwepo...watu na Elimu zao unawafukuza kwa sababu zisizoeleweka aisee...
 
Na mashaka na baadhi ya watumbua majipu!

Kama huyu mkuu wa mkoa alikwepo tokea Arusha, Mwanza lakini alikuwa busy na wapinzani
 
Back
Top Bottom