Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

Hii misa alotoa kanisani makonda, inasikitisha sana. Kutokana na matatizo yake ya kufoji anayo tuhumiwa anakimbilia makanisani na kuhuburi chuki na kutaka sapoti ya kanisa kuwa yeye amechaguliwa na mungu wake aliinuwe kanisa ambalo mtangulizi wa mungu wake alitaka kuliangusha.
Anasema kayika hotuba hio ya dakika 15 , ukiisikiliza kuanzia dakika ya 13 kuwa anaganya kazi ya kueneze neno la yesu kwa kutumia hicho cheo cha ukuu wa mkoa.
Hili ni jambo la hatari sana. Kiongoxi amakua desperate kutaka kulinda nafasi yake kwa hadaa kwa waumini atiana lengo la kueneza ukristo twifa zima . Hii ni dharau kubwa kawa wailam na kwa amani yetu kwani kiongozi wa nchi dini yake ni ya kwake ni imani yake haina uhusiano na kutumia nafasi alopewa mtu kueneza injili.
Hakika huyu mtu ni hatari sana ndio maana katika matajiri alowakamata ni Manji ambaye ni muislam, Ali Hemed mkurugezi wa Nas hauliers ambaye ni mdhamini na mfadhili wa shule wa jumuiya ya kiislam ya istiwamah.
Badawi mkurugenzi wa GBP...na mwenyekiti wa wadhamini wa zjumuiya ya kiislam ya Istiqamah na mfadhili mkubwa wa jumuiya kayika kujenga madhule na Hospital.
Mkurugenzi wa Tanga petroleum ambaye naye ni rais wa jumuiya hio hio Tanga.
Gwajima alisema kuwa aliwaacha masheikh kule shimoni wanasikitisha , na hawajapimwa wala kushtakiwa.
Aliawa honga bakwata ofisi ili awatie mkononi lakini kumbe ana malengo mengine.
Kws speech hii slioiyoa kanisani hafai kuingoza nchi hii. Watanzania hatuna utamaduni huo wa kiongozi kukiri kutumia nafasi yake kwa ajili ya imani yake.
Mwalimu alitukataza ...ns tumebaki salama kwani viongozi wote wanafahamu hili..ila huyu hafai...
Yupo desparate anaweza kutumia mbinu yoyote ili aonewe huruma...wenye kufahamu wamemuelewa
 
Back
Top Bottom