Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

Tatizo lako labda wewe mwenyewe ata kusoma hujui, nionyeshe hiyo PHD yake?

FORMAL EDUCATION
..................................................................................................................................................................................
CORE PROGRAMMES:

Level Institution Award

Doctoral The Open University of Tanzania Doctor of Philosophy (by Thesis): Leadership and Decision Making (In progress)

Masters University of Roehampton, London - UK Master of Public Health (In progress)

Masters Blekinge Institute of Technology, Ronneby - Sweden Master of Business Administration - Graduated

Masters University of Dar es Salaam, Muhimbili University Collage of Health Sciences Master of Medicine in Anesthesiology and Intensive Care - not graduated

Undergraduate Makerere University Kampala, Uganda Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery - graduated

Advanced Level Secondary Education Mzumbe High School, Tanzania Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE)

Ordinary Level Secondary Education St. Pius X Seminary Makoko, Tanzania Certificate of Secondary Education Examination (CSEE)


Primary School Certificate Iligamba Primary School, Tanzania Leaving Certificate
..................................................................................................................................................................................

Ndio maana nasema labda mlikimbia umande, kwa kuwasaidia hapo CV yake inaonyesha:
1. Amehitimu Forn Four
2. Amehitimu Form Six
3. Amehitimu degree ya kwanza ya Medicine Chuo Kikuu cha Makerere
4. Amehitimu Masters ya Businness Administration ya Blekinge Institute of Technology.

Hivyo hana PhD bado na hana qualification zingine zaidi ya hizi hapo juu.Labda hamjui maana ya IN PROGRESS na NOT GRADUATED
Maneno meeeengi kumbe hakuna kitu! Wanatuchanganya na maneno kumbe summary inaonyesha kila kitu. Huu ni ukengeufu kusema kwamba mtu ni PhD kumbe bado hajamaliza,
 
New boss in office... Karibu kamanda mashinji.... Una kila haiba ya kuwa GS.. Mungu akupe ueledi na hekima
 
kuna watu hapa watakuja kuwa wa kwanza kumkataa Huyu mtu.... Watakuwa wa kwanza kuja kusema ni mzigo.. Sijawahi kuona mtu asiyejielewa na mshabiki kama Molemo. Uandishi wa usimba na uyanga.. Eti Mashinji ni Msomi! Basi na mimi nitakuwa mara tatu Zaidi ya Huyo. Tatizo ni pale mwenyekiti mbumbumbu anapowaaminisha watu kuwa amechagua msomi.. Kila la Heri Msomi
 
Ili haki itendeke....katiba mpya, tume huru pamoja na matokeo kuhojiwa mahakamani ni mambo muhimu

UKAWA na ACT piganieni hayo bungeni.....ndio turufu pekee watumiayo ccm kuminya haki
 
Back
Top Bottom