Mkuki kwa NGURUWE!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,098
Kiasi cha zaidi ya mwezi sasa inaonekana kuwa lile sakata la Mh. Zitto Kabwe na chama chake zimeenda kimya kama hazikutokea vile. Nakumbuka wakati wa sakata lile kulitokea "MASHABIKI" wengi sana wa Mh. Zitto na huku wengi wakihoji demokrasia ndani ya CHADEMA. Nachelea pia kusema kwamba wengi wa waliokuwa wakiongoza hayo walikuwa wapenzi na wanazi wa CCM. Wiki hii imeshuhudia CCM wakiwahoji, kuwaonya na kuwaadhibu wale ambao wao waliona wamekwenda kinyume cha namna chama kinavyoelekeza ama kutaka. Hii imewakuta kaka zangu kina Lowasa, Membe, Ngeleja, January, Wasira nk. Nikiangalia kwa undani naona kama ni sakata lile lile kama la Zitto na CHADEMA la UROHO wa madaraka. Sasa Napata tabu kidogo kwasababu wakati wa Zitto ilionekana CHADEMA sio wana Demokrasia kwasababu wamemuadhibu Zitto, lakini leo CCM wanaonekana chama makini kwa kuwaadhibu hao niliowataja hapo juu. Ndio maana nikawaza tu je ndio hii waswahili walisema "MKUKI KWA NGURUWE, KWA BINADAMU MCHUNGU?"
 
wamewaadhibu kwa kufuata katiba na kwa umakini, hawajakurupuka km cdm, ndiyo maana hata mahakamani mlishindwa kwa sababu hmkufuata katiba inayowaongoza
 
Mkuu kwa wakati ule Cdm walijua wazi kwamba waliaji wakuu ni Ccm, naCdm hawakuyumbishwa nahilo,lakini hali imekuwa hiyo kwa maccm na kudhihirisha kwamba Cdm ni chama makini hakikupoteza muda kuingilia yakwao.Nahapo maccm yanapaswa yajifunze.Lakini pia nikwa sababu Cdm wanakazi nyingi zakuwatumikia watanzania tofauti na maccm ambayo kaziyao nikutuibia tu nakuchonganisha vyama vingine basi!
 
Zitto alitumwa na ccm kazi maalumu ya kuisambaratisha chadema,ndiyo maana mpaka leo hajakana pesa alizokua anaingiziwa germany.Hakua na nia ya uongozi
 
Back
Top Bottom