jf imekua sana kwa sasa mpaka saloon imefika!Bwana asifiwe!
Leo nimeona niilete hii habari iliyonishangaza kama si kustaajabisha ya dada jirani yangu.Huyu ana mume na mmewe ni mpole na ni muajiriwa sirikalini,
jamaa kakamatika yani akirudi kutoka kazini lazima apekuliwe kwanza katika suruali ana sh ngapi.
ATM zote mke anazo salario ikitoka mke ndo anatoa imefikia jamaa mwisho wa mwezi kalipwa salari ila anakuja kukukopa atumie mamaake.Yaani jamaa ela yake inamtesa kumfata mke ampe hadi hadi atuulize jinsi kuanza kuomba.Anatia huruma sn tumemshauri tu afungue akaunti zingine awe anajiekea akiba ya mambo yake.
Embu toeni ushauri hapo kidogo
ameoa muuaji na ama roho mbaya mpika sumu ana afadhali! mmeo anayekutuliza nakuku...(in Gardina's voice)
unamfanyaje ajisikie inferior hivyo hadi akaombe ushauri wa aibu hivyo? baada atalalamika mmewe hana nguvu za kiume zitatoka wapi?
Dahhh mfano ndugu yko huyoMaisha ya watu wawili wapendanao si ya kuwaingilia ukiweza we yaangalie tu maisha yao kama unavyoangalia Movie maana huwezi shauri mtu ukiwa unamcheki kupitia Luninga we utacheka ama utasikitika tu...
Umeonaeeh?? Upumbavu ni mzigo wa mpumbavu let him carry his own laguageHuyo mwanaume ni MPUMBAFU