Kazi ya kusaga sumu ni kaazi kweli kweli! Ukiifanya kwa ufanisi na kwa muda mrefu madhara yake ni kama haya ya kutaka uwe na warithi wengi watakaosaga sumu pia
'' kwani tangu nimuoe huyu mke miaka 7 iliyopita tumefanikiwa kupata watoto watano pekee.''
Msaga sumu au Mlisha sumu?
miaka saba (7) watoto watano (5). kwa kiwango ni kuwa mkeo anashika mimba kila mtoto anapokuwa na miezi 7. Tofauti ya umri wa watoto wako ni miezi 16.
Umeishi na mkeo kwa siku 2555 na amekuwa mjamzito kwa siku 1350. Huna huruma?
Hesabu rahisi
Mimba miezi 9
Idadi ya watoto 5
Hii ina maana kuwa 9 x 30 x 5 = siku 1350
mwaka una siku 365
KWAHIYO mkeo amebeba mimba kwa miaka 1350/365 = miaka 3.699
Kwa miaka saba mliyoishi mkeo amekuwa mjazito kwa miaka mitatu na miezi 8
unajisifu mshahara umepandishwa mpaka 40 per cent...hahahah bora ungejisifu umefungua biashara inayokuingizia atleast laki nne kwa wiki hapo ungekua unahaki ya kudai hao watoto nane. lol. africa ni africa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.