Atiiiiiiiiiiiiiiiiii ana hatari ya kua NINI? LOLSijui kama ni vizuri...ila nnachojua ni kwamba, mtoto wa kiume ukipenda kusifiwa sifiwa kuwa umependeza una hatari ya kuwa shoga. Ipo siku huyo jamaa atakutamani na kukusifia umependeza then ukikenua tu meno inakula kwako.
My Point: Achana na habari ya mtu na mkewe/mumewe,fanya yako.
Badilisha time toka 10min kabla ili asikuone na wacha kucheka cheka nae,kua serious mda wote,usiweke mazowea nae..igweeeeeeeeeeeeee
(basi wanajf isiwe mzozo na gumzo najua nimecopy from someone here in jf) back to the topic....
=mimi nimepanga hapa ubungo kibo kwenye nyumba fulani yenye wapangaji wawili mimi na rijamaa(lijamaa) furani(fulani) ri baunsa kutoka mara kama lenyewe linavyojiita.kiukweli jamaa huwaga halicheki lakini nashindwa kumuelewa mke wake..tabia alokuwa nayo ya kunisifia kila ninavyoenda kazini.. mda wangu wa kuondoka saa moja na nusu basi huyu mdada ananisubiria mlangoni ataanza oooh! shemeji umependeza muda mwingine huwa najiuliza sijui nimuimbishe niweke heshima lakini nikimfikiria mumewe na ukauzu wake nashindwa hata kumeza mate kiukweli namuogopa.wadau naombeni ushauri njia gani nitumie ili huyu dada aache kunisifia nimependeza kwani ananiweka majaribuni mana mtu mwenyewe mimi chapa ilale sitak anisifie..
Hahaha dahSijui kama ni vizuri...ila nnachojua ni kwamba, mtoto wa kiume ukipenda kusifiwa sifiwa kuwa umependeza una hatari ya kuwa shoga. Ipo siku huyo jamaa atakutamani na kukusifia umependeza then ukikenua tu meno inakula kwako.
My Point: Achana na habari ya mtu na mkewe/mumewe,fanya yako.
igweeeeeeeeeeeeee
(basi wanajf isiwe mzozo na gumzo najua nimecopy from someone here in jf) back to the topic....
=mimi nimepanga hapa ubungo kibo kwenye nyumba fulani yenye wapangaji wawili mimi na rijamaa(lijamaa) furani(fulani) ri baunsa kutoka mara kama lenyewe linavyojiita.kiukweli jamaa huwaga halicheki lakini nashindwa kumuelewa mke wake..tabia alokuwa nayo ya kunisifia kila ninavyoenda kazini.. mda wangu wa kuondoka saa moja na nusu basi huyu mdada ananisubiria mlangoni ataanza oooh! shemeji umependeza muda mwingine huwa najiuliza sijui nimuimbishe niweke heshima lakini nikimfikiria mumewe na ukauzu wake nashindwa hata kumeza mate kiukweli namuogopa.wadau naombeni ushauri njia gani nitumie ili huyu dada aache kunisifia nimependeza kwani ananiweka majaribuni mana mtu mwenyewe mimi chapa ilale sitak anisifie..
Unaisema bila kutabasamKwahiyo mtu akipendeza mtu usiseme kwavile wewe ni mke/mume wa mtu?
Karibu sana...huu ushaur unaweza kunifaa asante