Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Haya ndo mambo sasa sio mtu anakuja kutereza humu, taraka hutoi, watoto hulei, hela huna, mipango huna, future hakuna unaishia kulalamika umemenda, Huo n undezi na hapo ndo ninapounga mkono hoja ya utekaji iendelee daima
Mkuu sijakuelewa una maana gn.
 
Mkuu sijakuelewa una maana gn.
huyu jamaa niliye quote thread yake nimefrahishwa na strategic zake mkp akamalizana na matatzo au kwa kifupi alifanya maamuzi, sasa mwingne anakuja humu kulalamika ila hana maamuzi anaishia kesema mm nimempenda sana nashindwa kumuacha, Aisee wanaume wenzangu wa dizain hii sijui nawaonaje yaana inakera kias kwamba mtu unasoma thread ya mtu huku umeng'ata meno. Mpk natamani jf na ss tuwe na kikundi halali cha utekaji.
 
Grazier
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
Kwa wanaume wote humu , mazoea hujenga tabia, ulivyo mzoesha mkeo toka mlipokua kwenye relationship mpaka mkaingia kwa ndoa ndio hayo matokeo yake, unakuwa huwezi kumwambia mapungufu mwenzio mpaka inakuwa tabia yake ,muzoeshe kuwa responsible kwa vitu vidogovidogo atazoea tu
 
Mkuu Wote humu tunajua jukumu la kutunza familia ktk masual ya financial n kweli n la baba, Ila sio to such extent asee, 12 yrs hujawah kuchangia chochote leo hii unaambiwa bili ya maji nayo unashndwa? kwa mshahara wa lak 9 per month? . Wapo wanawake wanauza Nyanya barabaran lkn they still do smthn in their family, sio km jukumu ila hata upendo kwa familia tuu

No matter unafanya nn ila kuna hata ile kusema ngoja leo angalau hii iwe kwa ajili ya upendo kwa familia yangu, tena bila hata kuambiwa. Hiv mke km huyu ukiulizwa anafaida nyingne yyt kwa mme wake zaid ya kuzaa utataja ipi?
Ndio maana mwanzoni nkaanza nakusema alichofanya sio sahihi...
 
Hana mapenzi huyo na hapendi maendeleo ya hapo nyumbani kabisa pole kwa kukosea kuoa.
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
Muache sasa akachote maji bombani maana mkataa pema pabaya panamuita!
 
Back
Top Bottom