Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,559
- 12,324
Hamna mawaelewano na mkeo
Definately! Kwa mfano Kama mshahara wangu ni laki 3 na mke wangu ni laki 2 kwa mwezi mshara unahesabiwa ni kama laki 5!Ndio za namna hii huwa zina migogoro mingi ndan yake ..,NA sababu kuu ni udhaifu wa mwanaume ....Nishashuhudia sana ndoa hizi NA Mara nyingi mwanamke anajihic anaweza kufanya chochote anachotaka akijua hakuna atakalofanywa.....