Mkaa mbadala

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,988
2,196
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmii kabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani naomba anisaidie
 
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmiinkabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani naomba anisaidie
Ubungo External mkaa unaotokana na takangumu za karatasi.. Hauna moshi na ni rafiki wa mazingira
Kigamboni Kibada mkaa unaotokana na vumbi la matairi yaliyochomwa. Umetengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi na hilo vumbi, una moto mkali hauna jivu na hauna Moshi ni rafiki wa mazingira pia
 
asante kwa taarifa lakini hapo ubungo external ni kwenye duka au shirika? hebu fafanua zaidi,ikiwezekana niwekee na namba ya simu
 
Back
Top Bottom