Mjukuu wa Mohamedi Ali ni Myahudi - Times of Israel!

Status
Not open for further replies.
yaani hata mie najitahidi kuiangalia hata sipati picha na wanachobishania hata sikiielewi anyway ni mambo ya JF

Its about Power ndugu! Haya mambo ni zaidi ya tu kwenda Kanisani/Msikitini kusali na kurudi nyumbani!
Kumbuka lengo la Dini ni control na Power!
 
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar Ali-Wertheimer amezaa na Myahudi ajulikanaye kama Spencer Wertheimer, kulingana na Uislamu dini hupasishwa ktk kwa baba kwenda kwa mtoto hivyo huyo mtoto ni Myahudi au tuseme siyo Muislamu!

Muhammad Ali’s Jewish grandson

Unataka kuwaepuka kwa sababu una uadui na Mungu wao? Kitu gani kinakufanya utake waepukike kama siyo ushetani?

Hiyo unayosema hupasishwa kwa upande wa baba ni Imani ya Mungu, mirathi ya hatari au ngoma za majini?

Kweli upagani ni shida!
 
Sasa nilichoropoka hapo ni kipi? Wewe mwenyewe umesema Kiislamu hakuna ndoa, ina maana Kiislamu huyo mtoto hawamtambui lkn haibadilishi ukweli kwamba huyo mtoto ni mjukuu wa Mohamed Ali na kwa kuwa Uislamu kama ulivyosema haumtambui ina maana basi mtoto ni Myahudi kama Habari ilivyoandika, sasa kuropoka kwangu kunatokea wapi?
Ngoja nikusaidie huyo mtoto ni wa mama kama huyo mume sio Muislam Uislam umeshayatolea ufafanuzi hayo yaliyotokea .... Ubini wa baba unapokwa kwakua hajaoa wala kubadili dini na kua Muislam.....otherwise huyo mama awe nae Kabadili dini na kua Myahudi hapo huyo atabaki kua mjukuu wa Muhammad Ally ila sio vinginevyo
 
yaani hata mie najitahidi kuiangalia hata sipati picha na wanachobishania hata sikiielewi anyway ni mambo ya JF

Mambo ya wafuga majini, halafu wanasema wanasali nayo kwa kuwa mungu wao na majini wanaabudu mungu mmoja, huwezi kudeal nayo kama una akili timamu. Waachie wenye utajiri wao wa majini wanatetea kilinge chao. Upuuzi mtupu.
 
Sasa unanisahihisha mimi au unalisahihisha Gazeti lililoandika hiyo Habari? Mimi nimenukuu tu kilichoandikwa na wala siyo mtaalamu wa Uislamu au Uyahudi!
Nakuelewesha wewe,uliyeleta uzi huu hapa JF.Na mwingine asiyefahamu kama katika uislam mtoto yoyote anayezaliwa,anazaliwa muislam(na dini zote ,hata wasio na dini wanajuwa hilo)ila hubatizwa na viongozi wa dini nyingine,kumtoa katika uislam,kumuingiza dini nyingine.Katika uislam hakuna kumsilimisha mtoto aliyezaliwa na wazazi waislam,kwa maana mtoto katika uislam,anazaliwa muislamu,hata kama wazazi wake sio waislam.Ni pale abapobatizwa huyo mtoto,ndio ametolewa katika uislam.
 
Kama nilivyokwisha sema mimi siyo mtaalamu wa Dini (Uislamu/Uyahudi) ni kwamba tu nilikuwa najaribu kutafsiri kama nilivyosoma kwenye Gazeti na kushangaa kwa nini hata Habari iandikwe leo hii?
Ndg.Yangu Barba, Kwa heshima na taadhima karibu sana...
Mara nyingi wee mwenzetu unaji kimbiza mwenyewe!! Kivipi? wee husemaga "mimi siyo mtaalamu wa dini"
Sasa Naomba uje tukufunze hizi DINI na uwe na Mwangaza zaidi na elimu ya Dunia na Elimu ya Akhera !! Maana naona Una Bongo zuri na Exposure ya mambo mengi.. ila una Hesitate sana..!! (wajua ukifahamu Dini unakuw amtu mwenye raha sana)
 
Nakuelewesha wewe,uliyeleta uzi huu hapa JF.Na mwingine asiyefahamu kama katika uislam mtoto yoyote anayezaliwa,anazaliwa muislam(na dini zote ,hata wasio na dini wanajuwa hilo)ila hubatizwa na viongozi wa dini nyingine,kumtoa katika uislam,kumuingiza dini nyingine.Katika uislam hakuna kumsilimisha mtoto aliyezaliwa na wazazi waislam,kwa maana mtoto katika uislam,anazaliwa muislamu,hata kama wazazi wake sio waislam.Ni pale abapobatizwa huyo mtoto,ndio ametolewa katika uislam.

Sawa asante kwa kunigawia Elimu ya Uislamu, umenipa picha pana zaidi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom