kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
hiyo bikira watu hawajaing'oa tu??
Goti au?
hiyo bikira watu hawajaing'oa tu??
Hivi hakuna bikira mwingine kabila zima la wasukuma?
Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.
Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
Kiboko ya Le Mutuz hii chata.

@W.J. Malecela mbunge mtarajiwa wa Mtera mbona bado kimya...tupe appointment date ili tukutembelee kwa lengo la kukushawishi ili ugombee ubunge wa mtera...!
Cjakuelewa unaweza kunielewesha ama kubadili kidogo ili nielewe