CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Tukikaa kama nchi tukakubaliana na definition hiyo, na IKAWEKWA KATIKA KATIBA, ugomvi au matendo ya polisi na upinzani tunayoyaona leo hayatakuwepo. Mimi kwa mtazamo wangu hatujaafikiana kama taifa majukumu/kazi/wajibu wa vyama vya upinzani KIKATIBA. Kazi za vyama vya upinzania tukishazianisha, zitambuliwe KIKATIBAMkuu kazi ya upinzani kwa jibu rahisi ni kukosoa, kushauri, kuelekeza na kutoa njia mbadala za namna ya kufikia kilele cha maendeleo katika nchi au taasisi husika.
Mkuu kiuhalisia naamini viongozi wetu wanayajua haya unayosema tuyaainishe, ili yawe kama muongozo lakini nachokiona ni kufumba macho, kuziba masikio na kupotezea kile wanachokiona, kusikia na kushauriwa. Lakini tusikate tamaa.Tukikaa kama nchi tukakubaliana na definition hiyo, na IKAWEKWA KATIKA KATIBA, ugomvi au matendo ya polisi na upinzani tunayoyaona leo hayatakuwepo. Mimi kwa mtazamo wangu hatujaafikiana kama taifa majukumu/kazi/wajibu wa vyama vya upinzani KIKATIBA. Kazi za vyama vya upinzania tukishazianisha, zitambuliwe KIKATIBA
dowansESCROW
IPTL
RADAR
MEREMETA
MELI MBOVU
UZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI
RICHMOND
MIKATABA MIBOVU.
Vyote hivi vimeibuliwa na UPINZANI wakati ccm wakitetea na kufisadi nchi.
Ila kwa hapa tz kazi yao ni kususa susa tu.Mkuu kazi ya upinzani kwa jibu rahisi ni kukosoa, kushauri, kuelekeza na kutoa njia mbadala za namna ya kufikia kilele cha maendeleo katika nchi au taasisi husika.
Sasa mkuu hawa wa hapa Tz kazi kubwa ni kususa hawana nguvu ya kushawishi, wakikosoa hawatoi njia mbadala, kazi yao kubwa ni kupinga na kupinga kila kitu, na ndiyo maana hata serikali haiwathaminiMkuu kazi ya upinzani kwa jibu rahisi ni kukosoa, kushauri, kuelekeza na kutoa njia mbadala za namna ya kufikia kilele cha maendeleo katika nchi au taasisi husika.
Ila kwa hapa tz kazi yao ni kususa susa tu.
Red tea na Barafu ya moto, Mawazo yenu ni mazuri lakini hebu tuaangalie kwanini wanasusa, nimesema kazi yao in kukosoa na kuelekeza njia sahihi lakini sio serikali iseme tukosoeni hivi.Sasa mkuu hawa wa hapa Tz kazi kubwa ni kususa hawana nguvu ya kushawishi, wakikosoa hawatoi njia mbadala, kazi yao kubwa ni kupinga na kupinga kila kitu, na ndiyo maana hata serikali haiwathamini
Kushiriki chaguzi...Hivi kazi ya upinzania katika siasa za nchi ni pi?
Tufanyeje ili wakione na wakikubali katika njia za amani. Tutafute third party awe kati yetuMkuu kiuhalisia naamini viongozi wetu wanayajua haya unayosema tuyaainishe, ili yawe kama muongozo lakini nachokiona ni kufumba macho, kuziba masikio na kupotezea kile wanachokiona, kusikia na kushauriwa. Lakini tusikate tamaa.
Kama wanatoa hoja hawasikilizi unafanyajeSasa mkuu hawa wa hapa Tz kazi kubwa ni kususa hawana nguvu ya kushawishi, wakikosoa hawatoi njia mbadala, kazi yao kubwa ni kupinga na kupinga kila kitu, na ndiyo maana hata serikali haiwathamini
Ni kweli kabisa kama serikali ingekuwa tayari pamoja na chama tawala kukubali kuwa upinzani siyo uadui.Na ukitaka kummaliza mpinzani wako fuata na yafanyie kazi anayokwambia.Mkuu kazi ya upinzani kwa jibu rahisi ni kukosoa, kushauri, kuelekeza na kutoa njia mbadala za namna ya kufikia kilele cha maendeleo katika nchi au taasisi husika.
Yes, kutafuta third party ni muhimu, lakini pia ieleweke tu kuwa demokrasia ni gharama hata nchi zilizoendelea zilikumbana na vikwazo kama hivi, na ndo maana nikasema tusikate tamaa na tujue hakuna mtawala anayeachia madaraka kirahisi.Tufanyeje ili wakione na wakikubali katika njia za amani. Tutafute third party awe kati yetu
Ni kutokata tamaa, madaraka particularly kwa madikteita wa kiafrika ni matamu for personal gain. Ingelikuwa ni kuwatumikia wanachi wasingelingagania madarakani kama alivyosema NyerereYes, kutafuta third party ni muhimu, lakini pia ieleweke tu kuwa demokrasia ni gharama hata nchi zilizoendelea zilikumbana na vikwazo kama hivi, na ndo maana nikasema tusikate tamaa na tujue hakuna mtawala anayeachia madaraka kirahisi.