CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,999
- 23,374
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa.
Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu.
CAM GAS
MIHAN/TAIFA GAS
OGAS
LAKE GAS
PUMA GAS
MANJIS GAS
Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi.
Mnunuzi ni lazima ununue mitungi 200 yote kwa pamoja na sio chini ya 200.
Bei ya Cylinder moja ni 12,000 (bila usafiri) unaifata mitungi ofisini unaichukua "usafiri juu yako"
Namba ya simu karibu PM muhitaji.
Kama Yupo anaeuza Mitungi ya gas au anataka kufunga biashara na anauza mitungi yake ya GAS nanunua kwa 10,000 mtungi mmoja. Haijalishi upo wapi ila tu uwe ndani ya DAR nanunua naufata hadi mlangoni kwako.
Uwe na Mitungi Mi 5 kwenda mbele. Size ya mitungi ninayonunua ni ya 6kg tu.
15kg nanunua kwa wakampuni ya ORYX tu.
38kg kampuni zote alionao asisite nijulisha.
Mitungi 200 x 12,000 = 2.2m.
Location : Makumbusho