Mitandao ya urais yaanza kuundwa

Kikwete naye kahama ?
Kikwete alishastaafu siasa anajilia keki Msoga ,ila kuna wengine walisema wanaenda kuchunga ng'ombe lakini bado wapo kwenye harakati za kwenda Ikulu ya Dodoma pamoja na kuwa wamekuwa akina ''Trump''
 
kwa kwel maghuful in shida
 
Alishindwa baba yule ambaye alijipanga na kujiimarisha kama ukuta wa zege lakini akapotea hata aliowategemea kama nguzo zake wakamuacha
 
Hii ni kweli, namfahamu mmoja kwa hakika mara ya mwisho alijulikana kwa jina la February Makamber....sijui sasa hivi anaitwaje.
 
Ukitaka uepuke siasa soma magazeti ya kizungu. Hawaandiki upUunzi kiasi hiki.
 
Chadema wabaya sana, wamemyima Sumaye ata Uenyekiti wa mkoa duuuuh.. Wakati Lowasa ni mjumbe kamati kuu
 
Mitandao ya wanaotamani kuwa viongozi wa juu wa Tanzania , hasa nafasi ya Urais imeanza kuundwa.
Ndio maana Wakikatwa wanahamia upinzani, jambo kwa upinzani, watapata mgombea kutoka CCM katika hao wagombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…