MITANDAO YA SIMU NA BANK WEKENI OPTION (CHAGUO) KWENYE MENU ZENU MTU KUKUBALI MKOPO KUTOKA KWA MTU MWINGINE

Bodhichitta

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
215
529
Aslaam,

Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu.

Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu.

Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka kwake.

Na sms ya Muamala anayo, alijaribu kumfoadia ile sms ya ela ambayo alimtumia

Jamaa akajibu hayo yalikuwa malipo ya biashara zangu ambazo ulichukua Kwa MKOPO.

Kiukweli hii hata mim imeniumiza saana, maana jamaa ukiangalia nikweli Hana ushahidi mwingine zaidi ya hiyo sms ambayo jamaa anadai kuwa yalikuwa ni malipo ya biashara zake ambazo alizichukua.

Ombi langu Kwa mitandao ya simu na hizi app/menu za bank ambazo mtu unaweza kufanya miamala ya namna hiyo waweke kipengele MKOPO baina ya mteja na mteja.

Yaani kama mim nikitaka kumkopesha mtu kupitia simu yangu basi kuwe na hiyo menu ambayo Mimi nitaandika kiasi Cha MKOPO kwenda kwenye namba flani kabla sijaruhusu kuhamisha pesa, watume ujumbe Kwa muhusika wa ile namba kumuuliza kama anakubali kiasi hicho Cha MKOPO.

Baada ya kukubali niweze kumtumia,

Hii ili itumike kama ushahidi ikitokea ishu kama hii ya jamaa.

Maana watu sio waaminifu kabisa yaani.
 
Idea nzuri, ngoja nikaifanyie kazi nipige ela.
 
Akafungue kesi ya madai mahakamani kwa ushahidi huo huo wa sms jamaa akija na hoja ya kuwa ilikua ni malipo ya biashara ya yeye alete mashahidi walioshuhudia kuwa kuna biashara walifanya au kuna sehemu waliandikishana.

Jamaa bado hajapoteza hela akikomaa anaipata labda aamue kusamehe
 
kwenye menu ya NMB app kuna kipengele cha sababu za kutuma muamala sasa Watu wengi huwa hawajishughulishi na kujaza sababu aidha kwa kujua au kwa kupuuzia.

Na unamkopeshaje mtu ambaye hummudu.Jamii ya vijana wa sasa imejaa watu wa hovyo, wanaoishi ufake fake mwingi.Mimi mpaka nakukopesha nishafanya risk assessment na pia nishaweka option za kukubania wapi ukileta upimbi.

Huyo kamkopesha mjanja wa town hence fourth apambane na hali yake.

Katika maisha make sure people knw what happens when they try to cross you.Hii itakusaidia watu wasikuchukulie poa kirahisi. Ukiishi kiboya boya unakenuakenua na kila kichaa lazima ikutokee puani.
 
Akafungue kesi ya madai mahakamani kwa ushahidi huo huo wa sms jamaa akija na hoja ya kuwa ilikua ni malipo ya biashara ya yeye alete mashahidi walioshuhudia kuwa kuna biashara walifanya au kuna sehemu waliandikishana.
TRUE, na wala hahitaji mashahidi kiivyo, Just aonyeshe Risiti tu ya mauzo inatosha. Kama hana risiti basi hio sio Biashara kiserikali.

Infact, kukopeshana siku hizi sio jambo jema sana. Watu wamekuwa wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom