Rosedory Charles
Member
- Aug 14, 2020
- 30
- 60
Nakuombea Rosedory CharlesMimi ni Binti WA miaka 22 natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa .
Nina elimu ya kidato cha nne na cheti cha veta cha secretary pamoja na cheti cha jkt
Nje ya nilichosomea nipo tayar kuuza duka hata sheli supermarket n.k vinavyofanana na hvyo asanteni.
Kama kazi itapatikana mkoa tofauti na Iringa nipo tayari pia kama nitaweza kukidhi
Asanteni
Wewe hiyo nafasi wape ndugu zako upunguze circle ya umaskini katika ukoo.Je ikipatikana mafinga kuuza duka la vipodozi upo tyr?
Sawa nashukuruDada yangu JAMIIFORUMS hakuna kazi wala watu wa kukuunga na kazi, asiye kujua hakuthamini.
Chakufanya kama unandugu Dar mwambie akusaidie kutafuta, au kama vp take risk uje dar utafute mwenyewe UTAPATA we amini tu.
Ila huku JF wahuni wengi sana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
AmiinNa mungu akupatie itaji la moyo wako
Amiin Mungu akubarikiNakuombea Rosedory Charles
UbarikiweYaani kwakuwa mdada ndio mnamshobokea, heri kumsaidia mwanaume mwenzangu aisee.
Mwanamke asaidiwe na mwanamke mwenzake, akisaidiwa na mwanaume anaona ni haki yake na mwisho wa siku atakuona una shobo.
Mwanamke hana cha kumpa mwanamke zaidi ya sehemu zake za siri ambazo Tandika unaweza kuzipata hata kwa buku.
Hakuna mwanaume aliyemsaidia mwanamke baadaye asijutie uamuzi wake.
Amiiin shukranInshallah utapata.
Sawa nashukuru mekuelewaDada yangu JAMIIFORUMS hakuna kazi wala watu wa kukuunga na kazi, asiye kujua hakuthamini.
Chakufanya kama unandugu Dar mwambie akusaidie kutafuta, au kama vp take risk uje dar utafute mwenyewe UTAPATA we amini tu.
Ila huku JF wahuni wengi sana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Amna shida mekuelewaBinti zama field mwenyewe mdogo wangu kama mdau alivyosema hapo JUU jitose daslam tuu mengine utayakuta huko........
..ila zichunge sana sehemu zako za Siri kwa kigezo Cha kutafuta kazi na Hali ngumu ya maisha .....
I'm in love with your stranger..😋Hellow
OoohHellow