Mimi na yeye tuko njia panda

dude you are being played, kama anakupenda angekuwa asha ondoka kwa huyo mwingine.
wewe mbona ulikuwa unampenda uka mmwaga mwenzio!?, she is using you man!! yaan huoni aibu she is sucking his d**k in the morning na mchana anakuja kuja kwako na una mkiss huku unachekelea tuu!!!.

grow up!!, kama hawezi kumwacha mpige chini tafuta mwingine hana maana uyo.
na ukome maana ukute ulo muacha alikuwa ana kupenda fresh tu now umeenda kuwa mchepuko vumbi. hihihihiiiiii!
 
Asante kwa ushauri
 
Huna chako hapo kaka, Ktafute ile big G yako uliko itupa tu. N kama ndo ulimbwaga kwa vitimbi.. shakula kwakoo
 
Mapenzi bwana mmmh,kuna watu mna roho ngumu endelea kuwa mchepuko tu siku wakifunga ndoa ndo utajua kama ulikuwa watumika
 
Mtazamo wangu juu ya hili acha utoto na kujifanya mjuaji..kumbuka mtaka yote kwa pupa hukosa yote...Umeshika mawili moja limekuponyoka!!

Unasubiri nini sasa badala ya kuondoka/kujitoa kwenye uhusiano huo wa mashaka?? Mkuu sio kila king'aacho ni dhahabu.

Ili uishi salama, achana na Mwanamke wa jamaa..Unaweza ukajitesa bure na kuingia kwenye timbwili la kujitakia...

Tuliza moyo wako na kubali yaishe uishi kwa amani..Tafuta mwingine akufaaye.
 
Kama jamaa ameshagundua halafu hajafanya kitu mpaka sasa,subiri utasikia kwenye vyombo vya habari muda si mrefu! majaba bado yapo bei rahisi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…