Milioni 50 za kila kijiji zilikuwa usanii?

Kwani miaka mitano imeisha, ili jambo litafanywa kwa umakini San, utaratibu unafanyika ili kutimiza ahadi, sasa hivi kila wilaya imeanzisha kada ya waratibu wa uwezesheji, tutafika huko, subirini 2020 kama haijafanyika mkosoe
 
Hizo pesa zipo TAMISEMI ,Zitto ameishi kwa mazoea kuwa PM anahusika na TAMISEMI kumbe hapana , zimetengwa bilioni 59 TAMISEMI chini ya Ofisi ya Rais ........
 
Hata new deal haikutimizwa kwa mwaka mmoja,hoja hii ingekuwa na mashiko makubwa kama huu ndio ungekuwa mwaka wa mwisho wa jpm kutumikia taifa lakini kinyume na hapo ni kutaka kutafuta kick tu kwenye vyombo vya habari
 
View attachment 342734

Leo bungeni wakati waziri mkuu akihitimisha bajeti hotuba ya makadirio na matumizi ya ofisi yake.
Bunge wakati limekaa kama kamati likipitia vifungu vya bajeti ya waziri mkuu.

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe amehoji kutoonekana kwa fedha walizoahidiwa wananchi kila kijiji kiasi cha sh milioni 50.
La kushangaza naibu spika akaingilia na akamwambia atulie.

Sasa tunajiuliza, je fedha hizi zilikuwa usanii?
Nimebonyezwa zipo ila kisiri siri. Wanagawa milioni mbili kwa watu watano. Njoo Masaki kuna mahali watu wamebonyezwa chichemi naogopa lupango sijalipa kodi ya bajaj.
 
Tunapotafuta wachumba ni muhimu kutoa ahadi tamu tamu nyingi ni hewa almradi mchumba aingie box akishaingia ndani ya nyumba unakausha kama vile kauzu, aking'ang'ana sana unamjibu kiulaini "ahadi hazitekeleziki" tuna mambo mengi muhimu..ya kuyafanya kujenga ndoa yetu.

Na siasa ni hivyo hivyo usisubiri 50m jipe shughuli nyingine tafadhali.
SIKU HIZO FEDHA ZIKITOKA UTAKUWA TAYARI KUANDIKA THREAD KUFUTA KAULI YAKO AMA KUJISAFISHA?. JE HIZO FEDHA ALIZO ALIZOAHIDI MIL50 ZILIKUWEPO KATIKA BUDJET YA KIKWETE
 
Ni aibu na uongo uongo tu.Nakuhakikishia baada ya muda serikali hii itakuwa ya aibu sana
 
Tunapotafuta wachumba ni muhimu kutoa ahadi tamu tamu nyingi ni hewa almradi mchumba aingie box akishaingia ndani ya nyumba unakausha kama vile kauzu, aking'ang'ana sana unamjibu kiulaini "ahadi hazitekeleziki" tuna mambo mengi muhimu..ya kuyafanya kujenga ndoa yetu.

Na siasa ni hivyo hivyo usisubiri 50m jipe shughuli nyingine tafadhali.
Au ulitaka hizo fedha atoe mifukoni mwake? Kumbuka wakati wa kampeni alikuwa akinadi yaliyo katika sera
View attachment 342734

Leo bungeni wakati waziri mkuu akihitimisha bajeti hotuba ya makadirio na matumizi ya ofisi yake.
Bunge wakati limekaa kama kamati likipitia vifungu vya bajeti ya waziri mkuu.

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe amehoji kutoonekana kwa fedha walizoahidiwa wananchi kila kijiji kiasi cha sh milioni 50.
La kushangaza naibu spika akaingilia na akamwambia atulie.

Sasa tunajiuliza, je fedha hizi zilikuwa usanii?
Hilo swali halina mashiko, huo ni uvivu wakufikiria kumbuka kumbuka hizo milion 50 na sera nyingine alizonadi utekelezaji wake unaanza katika bajeti ya serikali yake 2016/2017. Sasa unataka atoe fedha ambazo hazikuwekwa katika bajeti iliyopita?. Pamoja na hayo mchakato wa kukusanya watu katika vikundi ulishaanza kutolewa maelezo fuatilia kupata taarifa zaidi kuanzia ngazi ya serikali za mitaa.
 
Walimu walio ahadiwa laptop huku Misungwi, wanalazimishwa kuchangia madawati na vitisho juu vya kupelekwa mahakamani na kufukuzwa kazi.
 
Kwani alisema ahadi zote zitatimizwa ndani ya mwaka wa kwanza wa utawala wake.?
 
View attachment 342734

Leo bungeni wakati waziri mkuu akihitimisha bajeti hotuba ya makadirio na matumizi ya ofisi yake.
Bunge wakati limekaa kama kamati likipitia vifungu vya bajeti ya waziri mkuu.

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe amehoji kutoonekana kwa fedha walizoahidiwa wananchi kila kijiji kiasi cha sh milioni 50.
La kushangaza naibu spika akaingilia na akamwambia atulie.

Sasa tunajiuliza, je fedha hizi zilikuwa usanii?
mbwembwe tu...walikua wanadai watu waongo kwan sukari ipo ya kutosha ila leo wamekiri...sometym ni vyema kuwa wa waz kwe vitu vya muhimu aisee
 
Kwa kweli utakua unasikitisha sana kama utaamini huu usanii wa huyu mtu anajiita makufuli!!

Bado sijasahau zile nyumba zilizouzwa kwa bei nafuu, meli ya samaki na ile nyumba aliyoongwa kimada!!! Bado sijasahau ile kashfa ya bwana mdogo a.k.a waziri kijana a.k.a february!!! And yet tunakua vipofu...sijui nani katuloga sisi watu wa hii nchi!!!

By the way toka lini lijipu likatumbua jipu???!
& MV DAR ES SALAAM
 
View attachment 342734

Leo bungeni wakati waziri mkuu akihitimisha bajeti hotuba ya makadirio na matumizi ya ofisi yake.
Bunge wakati limekaa kama kamati likipitia vifungu vya bajeti ya waziri mkuu.

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe amehoji kutoonekana kwa fedha walizoahidiwa wananchi kila kijiji kiasi cha sh milioni 50.
La kushangaza naibu spika akaingilia na akamwambia atulie.

Sasa tunajiuliza, je fedha hizi zilikuwa usanii?
Hivi kwani wabunge wa upinzani wamerudi bungeni si walisusa au imekuwaje
 
SIKU HIZO FEDHA ZIKITOKA UTAKUWA TAYARI KUANDIKA THREAD KUFUTA KAULI YAKO AMA KUJISAFISHA?. JE HIZO FEDHA ALIZO ALIZOAHIDI MIL50 ZILIKUWEPO KATIKA BUDJET YA KIKWETE
Ikiwa kauli ya kila kijiji kila kata itatenguliwa na badala yake vikaainishwa vikundi maalum kama vya walemavu ,akina mama wajane ,watoto yatima ,watoto wa mitaani haya makundi ya watoto yakaangaliwa kwa jicho maalum kwa kupewa usaidizi wa kuendesha miradi kwa njia maalum na yapo makundi mengi hohahahe yasiojiweza kote nchini hizo 50m ningeziona za baraka tele toka kwa mungu

lakini kwa kauli kila kata kila kijiji hiyo ina kasoro nyingi kwa mfano kata wanayoishi kina Bakhresa au ya akina Mengi wa ITV pia yapewe hizo 50m..?
Tunajua kuna maelfu ya vijiji na kata kote nchini wanakoishi matajiri peke yao wakipewa hizo 50m kama mtaji si itakuwa ni dhuluma kwa masikini walio wengi ambao wanahitaji kupewa msaada wa hali na mali

Pia kumbuka hizo pesa ni za mkopo zinatakiwa kurudishwa sio za bure gharama ya kuzigawa kuzisimamia na juzichunga sio haba ni hesabu ndefu mno na hatari ya kuliwa na zisirudishwe ni kubwa pia kwa sababu ni mkopo wa nchi nzima.
Je ikitokea zisirudishwe kwa wakati watafungwa jela wakopaji kwa pesa za ahadi zilizotolewa kisiasa...?
 
Awa wanazidi kumpa Magufuli ujiko bila wao kuelewa. Mil 50 zinakuja wananchi wataendelea kuwaona wapinzani ni wapiga kelele hawana jipya.
 
Mkuu ndio basi tena kwa bajeti hii labda tusubiri ya mwaka ujao ukiwaganda sana watakwambia tupo tuna miaka mitano

Back
Top Bottom