Mikataba ya kazi za mizani Tanroads

poteleambali

Member
Jul 23, 2015
69
73
Naomba mwenye kujua sababu ya mikataba ya nafasi za kazi tanroads za mizani naongelea Cashiers, Weighbrige Operstord na Shift in charge kuwa za muda mfupi.

Manaake huwa hawako makini katika usaili hivyo baada ya kuajili wanagundua walikosea au ni nini?

Nakama pengine ni kuhusishwa na rushwa ina maana wale wa maofisini hawali rushwa? Kwa mtazamo wangu nahisi
 
Aya ya pili na ya tatu .. umeendika kwa wenge saana .. Settle down... anduka kwa utaratubu JF ni yako ! Na utapata Majibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…