Microsoft is adding the Linux command line to Windows 10

Smokey D

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,631
2,101

Microsoft is reaching out to Linux developers in a way that the company never has before. "The Bash shell is coming to Windows. Yes, the real Bash is coming to Windows," said Microsoft's Kevin Gallo on stage at today's Build 2016 keynote. The announcement received an uproarious applause from the crowd. The new functionality will be enabled as part of this summer's Anniversary Update to Windows 10.

Source
The Verge
 
This is the best thing kwenye windows 10.
Itakua wanatafuta njia za kuwarudisha developers into windows 10 maana wengi wanakimbilia Macbooks kwa sababu ya unix environment.
 
This is the best thing kwenye windows 10.
Itakua wanatafuta njia za kuwarudisha developers into windows 10 maana wengi wanakimbilia Macbooks kwa sababu ya unix environment.
`mac au linux? developers wengi wakubwa wananunua mac kama hardware then hubadilisha os kuwa windows au linux
 
`mac au linux? developers wengi wakubwa wananunua mac kama hardware then hubadilisha os kuwa windows au linux

Naongelea Mac mkuu, mimi napofanya kazi wote wanatumia Mac hardware na software pia, haina haja ya linux unless software flani haipo kwenye MacOS, ila development environment zote zinazotumika sana zinapatikana na software nyingine kibao za development, terminal ya mac ni sawa na ya linux tu, kwa hiyo hata server deployments kwenye mac ni hapohapo tu, kudisassemble program e.t.c, haina haja kabisa ya kugusa linux machine japo wengine wanatupia na linux pia pembeni.
 
Sijui kuna possibility ya ku add hii feature kwenye windows server ili tuweze ku Run some Linux services on same one server bila kuitaji ku deploy nyingine ya Linux
 
ninavyofahamu na data nyingi nilizoziona windows ni monopoly even kwa developers pia. mfano kama hii survey ya stack overflow kwa madeveloper 26086 inaonyesha windows inatumika na zaidi ya asilimia 50 ya madeveloper compare na asilimia 21 ya mac cheki hapa survey yenyewe
Stack Overflow Developer Survey 2015

even osx(mac) zinatengenezwa kwa kutumia windows
 
Professional programming Mac OS and Linux is better, natumia both Windows 10 na Kali Linux, Ukisema windows ni monopoly si sahihi sana (Windows na Mac zote ni open Source) ukija kwa developing tools Zaidi ya 60% ni free kuanzia Visual Studio, Android Studio, Na hasa Python kuna free and yet powerful cross platform tools, Ila Mac ni Bora in Terms of Hardware, Kuhusu Bash scripting Python will replace it.
 
Kumbe Windows na MAC OS Zote ni Open source
Sikujua hili I see!
 
si maneno yangu mkuu ni data hizo nilizotoa, kama una data kuwa developer wengi wanatumia linux/mac zaidi ya windows unaweza ukazileta pia.

na hizo open source unamaanisha hizo tools au windows na mac kama os ni open source?
 
Wale Hkl,,H kunani series mnaawaacha mbali#team Cs ,CE,,TE,,CIS,,team ITZ###
 
si maneno yangu mkuu ni data hizo nilizotoa, kama una data kuwa developer wengi wanatumia linux/mac zaidi ya windows unaweza ukazileta pia.

na hizo open source unamaanisha hizo tools au windows na mac kama os ni open source?
More than 70% ya webservers duniani zina run Linux distros, Windows zinatumiwa kwenye matumizi ya kawaida pia development nyingi zinazofanywa Na individuals sio resources intesive, kuna swali la msingi kujiuliza why Windows wanaleta Shell kwenye Windows but sio batch kwenye Linux
 
Hiyo ilikuwa 2015. Nimesoma report ya 2016, na Mac OS ndiyo inayoongoza.
 
As far as I know Report kama hizi ufanyika mwishoni mwa mwaka

Ila kwa sasa tupo 2016 miezi mitatu tu then watoe Report kwamba 2016 MAC OS users ndo inatumiwa na developers wengi....Stastically haina Ukweli!
 
mkuu os ya development na server ni vitu viwili tofauti sababu hata microsoft kwenye cloud yao yaani azure wanatumia pia linux na open source nyengine

Ubuntu Linux and open source play key role in Microsoft Azure Stack Technical Preview
 
As far as I know Report kama hizi ufanyika mwishoni mwa mwaka

Ila kwa sasa tupo 2016 miezi mitatu tu then watoe Report kwamba 2016 MAC OS users ndo inatumiwa na developers wengi....Stastically haina Ukweli!

Inafanyika mwanzoni mwa mwaka, kila mwaka. So the variation is valid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…