Michael Aweda yuko live, Hotmix msikilizeni

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,954
Wadau,
Huyu bwana anajiita mdau wa siasa nchini. Yuko live east africa TV,
Anaongelea hali ya kisiasa zanzibar, anasema mkwamo wa kisiasa zanzibar unamuumiza magufuli huku Bara kwa kuchochea wahisani kama marekani kutukwamisha tz kwa kuzuia mkopo wa fedha za mcc,
Pia kasema ui... (EU) nimemnukuu alivyotamka yeye kwamba nayo iko mbioni kutukatia misaada naomba mlioko majumbani na umeme upo tumsikilize then na sisi tu comment pia.... Nawasilisha
 
Anasema sababu ya kwanza inayofanya CCM isikubali kuiachia madaraka cuf ni kwa sababu mapinduzi yalipotokea kulikuwa na serikali nyingine ya wa zanzibar na ilikuwa chini ya chama fulani cha wa zanzibar ambacho kulikuwa na mahusiano na serikali ya sultani na hivyo wanahofia kuwarudishia Tena.

Anasema sababu ya pili ni katiba ya warioba kumfanya Rais wa zanzibar kuwa makamu wa Rais wa muungano. Jambo ambalo hawaliafiki wana CCM zanzibar.

Pia anasema kama Uchaguzi ukirudiwa zanzibar na ikatokea CUF wakasusia basi kutatokea mmeguko mkubwa wa kiutawala Kati ya unguja na pemba kwani kutakuwa na Rais wa zanzibar kutoka CCM ambaye atakuwa Hana mbunge wala diwani kule pemba na huku unguja akiwa na wawakilishi wengi huku akigawana na CUF.

ILA amesema hayo ni maoni yake binafsi. Na amemaliza kwa kuwataka viongozi zanzibar kuacha kuwa na mihemko ya kihistoria na kuuishi wakati uliopo na mambo yake
 

Hajitambui huyo anaongelea maswala ya uchaguzi wa Zanzibar wakati yeye ni mtu wa tanzania bara.Maswala ya Uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano ni swala la wazanzibari wenyewe yeye ni mbara yanamhusu nini.Awaachie wazanzibari wenyewe.
yA NGOSWE amwachie Ngoswe yeye angechambua kwa undani kilichomfanya akose ubunge
 
 
hao nyumbu matatizo huyo ndio alikuwa anapinga lowasa asiingie chadema alipoingia ndio akawa anamsapoti kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…