Warudishe mfumo wa majina. tena ikibidi wavishe majina pia ktk matokeo ya mwaka 2008 na ya miaka ya hivi karibuni ambayo hayana majina.
Ila angalizo, ule mwaka aliomaliza Miss. Jesca usiguswe, maana Faru John atatishia kuifuta NECTA kama anvyotishia kukifuta kile chama cha mawakili.