nakusalimia kiongozi wangu mpendwa. ama baada ya salaaamu, pamoja na kukuombea dua kwa M/MUNGU akulinde usifikwe na mabaya,nakupongeza kwa kuturejeshea imaani iliyokuwa imepotea kwa serikali yetu. tangu umeingia madarakani umekuwa mtu wa kusimamia ahadi zako.naomba kukumbusha hii ya kodi ya pato la mshahara (PAYE) , najua hujasahau. lkn nakuomba utuangalie maana mzigo wa kodi umetuelemea wafanyakazi