Mkuu huyu mama hoja zake nyingi huwa ni tata. Suala la Escrow mama alikataa katakata hela sio za umma. JPM alifanya vyema kuweka kando huyu mama katika baraza.Baada ya waziri wa fedha uchumi na mipango mheshimiwa Mpango kuwasilisha kile ambacho serikali ilidhani kwamba ni mpango wa serikali wa miaka mitano, mwenyekiti wa bunge mh. Andrew Chenge alimwita mwenyekti wa kamati ya bajeti mgeshimiwa Hawa Ghasia ili atoe maoni ya kamati.
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa kamati ya bajeti alitoa maoni yake bila kufahamu serikali pale haikuleta mpango wa miaka mitano kama ilivyotakiwa na badala yake ulikuwa ni muundo wa kamati wa mpango.
Kilichonishangaza zaidi ni pale mh. Hawa Ghasia aliposema NAUNGA MKONO HOJA.
Jioni serikali iliondoa hoja yake mezani kwa kukiri kwamba walikosea. Sasa ndugu huyu alisema vile kwa mazoea kwamba ukiwa mbunge wa ccm lazima uunge mkono hoja yoyote ya serikali hata kama mbovu na haina maslahi kwa taifa?
Au naye alighafilika kama ilivyo kwa serikali?
Hili kwa kweli anajitahidi. Hongera kwa mama yetu. Ila apumzikeeNinachompendea Hawa ni uvaaji wake wa Staha iliyo juu sana.
Wewe unasifia sifia tuu... vya watu shauri yako wa kucheka cheka atakudundaNinachompendea Hawa ni uvaaji wake wa Staha iliyo juu sana.
Baada ya waziri wa fedha uchumi na mipango mheshimiwa Mpango kuwasilisha kile ambacho serikali ilidhani kwamba ni mpango wa serikali wa miaka mitano, mwenyekiti wa bunge mh. Andrew Chenge alimwita mwenyekti wa kamati ya bajeti mgeshimiwa Hawa Ghasia ili atoe maoni ya kamati.
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa kamati ya bajeti alitoa maoni yake bila kufahamu serikali pale haikuleta mpango wa miaka mitano kama ilivyotakiwa na badala yake ulikuwa ni muundo wa kamati wa mpango.
Kilichonishangaza zaidi ni pale mh. Hawa Ghasia aliposema NAUNGA MKONO HOJA.
Jioni serikali iliondoa hoja yake mezani kwa kukiri kwamba walikosea. Sasa ndugu huyu alisema vile kwa mazoea kwamba ukiwa mbunge wa ccm lazima uunge mkono hoja yoyote ya serikali hata kama mbovu na haina maslahi kwa taifa?
Au naye alighafilika kama ilivyo kwa serikali?
ukiambiwa lete watu wenye akili unamleta msigwa!!?..msigwa ana akili ganiN she has been a minister for the past 10 years
Namkumbuka Mch. Msigwa "akili ndogo kuongoza akili kubwa"
Ila sasa ndiyo ameumbuka, kakosa mwana na maji ya moto.
Wewe unasifia sifia tuu... vya watu shauri yako wa kucheka cheka atakudunda