Mh Ester Bulaya, Rose Kamili, Tulia Akson na Jenister Mhagama washangilia ushindi wa wanawake EALA

Hata Mimi nawapa hongera kubwa na kuwaombea kwa Mola kuwa wata wa prove wrong watu wanao wafikiria hawa wezi! Remain blessed sisters!
Kenya Rwanda na nchi zingine huko EALA wamewapeleka Former Ministers....
Sisi tumepeleka Engineer anayesema ata-standardise uchumi
Rosy Kamili Na Yy Yupo Kweli?Amepotelea Wapi Mbona Hatumsikii
 
Kufuatia ushindi wa wanawake wawili kutoka CHADEMA kuwa wabunge wa EALA huku wakiwabwaga wagombea vigogo wanaume wenye uzoefu mkubwa. Wabunge wanawake kutoka upinzani na ccm wameungana leo usiku wakisherekea kwa kuimba nyimbo mbalimbali za mshikamano
Kwa ujumla wake tumepeleka hasara tupu kwenye EALA.Yaani wabunge wa CCM,Cuf na Chadema ni vituko.Ndio)
Kufuatia ushindi wa wanawake wawili kutoka CHADEMA kuwa wabunge wa EALA huku wakiwabwaga wagombea vigogo wanaume wenye uzoefu mkubwa. Wabunge wanawake kutoka upinzani na ccm wameungana leo usiku wakisherekea kwa kuimba nyimbo mbalimbali za mshikamano
Tumepeleka hasara tupu kwenye EALA.Sio chadema cuf wala ccm hakuna cha maana.Mimi sijui hii EALA tunachukuliaje maana baadae itakula kwetu.Naona tumeenda kushindanisha urembo sio hoja kwa maslahi mapana ya Taifa
 
Bado Chadema wamecheza karata zao very wrongly! Kwa akili yao waliwapeleka akina mama "dhaifu" kwa matarajio CCM ingewa-reject in favor of the men. Huwa sielewi ni kwa vipi kwa miaka yote hii bado Chadema hawajaelewa hadaa, dharau, na fitna za CCM. Walitakiwa wapeleke the strongest candidates ever wa jinsia zote. Siamini kwamba chama hakina watu 6 aina hiyo; ni ulafi ulitawala zaidi - CCM nao wakaamua kuwachinjia mbali huko kuwakomoa.
....Hawaendi kubeba zege

....Tuache mfumo dume
 
Pathetic! Kweli nimeamini msemo kuwa "kwa CCM, ukishindanisha jiwe na mtu (hata akiwa makini namna gani) wako radhi kulipigia kura jiwe, mtu makini akaachwa"! Hongera zao!
Hata chadema pia ukiwa jiwe watalipigia kuliko kumpigia mccm, kwa hiyo huwa ni ngoma droo.
 
ulishasikiaga tunachukuliaga serious kivile mambo ya east Africa? sio issue sana kwetu. Taupo eac kimkakati wa usalama tu na si vingenevyo, na kama mmesahau eac ni Tz zingine mbwembwe tu, acha dada zetu wakacement vingereza vyao tu. wala msiwe na tabu
 
Kwa ujumla wake tumepeleka hasara tupu kwenye EALA.Yaani wabunge wa CCM,Cuf na Chadema ni vituko.Ndio)Tumepeleka hasara tupu kwenye EALA.Sio chadema cuf wala ccm hakuna cha maana.Mimi sijui hii EALA tunachukuliaje maana baadae itakula kwetu.Naona tumeenda kushindanisha urembo sio hoja kwa maslahi mapana ya Taifa
Wakenya wanatucheka kweli....wanasema are they serious?
 
Bado Chadema wamecheza karata zao very wrongly! Kwa akili yao waliwapeleka akina mama "dhaifu" kwa matarajio CCM ingewa-reject in favor of the men. Huwa sielewi ni kwa vipi kwa miaka yote hii bado Chadema hawajaelewa hadaa, dharau, na fitna za CCM. Walitakiwa wapeleke the strongest candidates ever wa jinsia zote. Siamini kwamba chama hakina watu 6 aina hiyo; ni ulafi ulitawala zaidi - CCM nao wakaamua kuwachinjia mbali huko kuwakomoa.
Hao wamama ni wasomi sio vilaza na chadema walielewa hilo
 
Bado Chadema wamecheza karata zao very wrongly! Kwa akili yao waliwapeleka akina mama "dhaifu" kwa matarajio CCM ingewa-reject in favor of the men. Huwa sielewi ni kwa vipi kwa miaka yote hii bado Chadema hawajaelewa hadaa, dharau, na fitna za CCM. Walitakiwa wapeleke the strongest candidates ever wa jinsia zote. Siamini kwamba chama hakina watu 6 aina hiyo; ni ulafi ulitawala zaidi - CCM nao wakaamua kuwachinjia mbali huko kuwakomoa.
By the way hawakuambiwa idad wangepeleka hata watatu kitu ambacho kingefanya apatkane namba moja hd tatu
 
Sisi hapo hatuna shida sana na wawakilishi.
tunahitaji watu wa kusema tu no .kama wanataka tuwamegee ardhi yetu.
East Africa ni tanzania ndio giant.
kwani imetulia na haina cha kupoteza.!!!
 
Kenya Rwanda na nchi zingine huko EALA wamewapeleka Former Ministers....
Sisi tumepeleka Engineer anayesema ata-standardise uchumi
Usim limit Mwenye Enzi Mungu kwa akili za binadamu! Miracle do happen, waombee!
 
kufuatia kumalizika kwa uchaguzi wa wabunge wa eala, mmepata wawikilishi wengi zaidi wa kijinsia yani 50+%. kitu kilichodhihirika ni kuwa kuna chama cha siasa kikongwe kinawaamini sana, kilienda mbali zaidi hadi kufikia hatua ya kumchapa viboko mshindani wake katika kuwatetea nyinyi na hatimaye mmepata 50+%.
imani huzaa imani.
ccm kimewaamini sana. hongera wanawake hongera ccm.
vyama shindani vijifunze na vichukue somo hilo kutoka ccm.
wanawake wanaweza wakiwezeshwa.
wanawake mshikamane kulinda thamani na umuhimu wenu, epukeni kuwa mtaji wa kupiga kura tu Bali na nyinyi mpigiwe kura.

kidumu chama cha mapinduzi.

Taifa la mungu.
 
Bado Chadema wamecheza karata zao very wrongly! Kwa akili yao waliwapeleka akina mama "dhaifu" kwa matarajio CCM ingewa-reject in favor of the men. Huwa sielewi ni kwa vipi kwa miaka yote hii bado Chadema hawajaelewa hadaa, dharau, na fitna za CCM. Walitakiwa wapeleke the strongest candidates ever wa jinsia zote. Siamini kwamba chama hakina watu 6 aina hiyo; ni ulafi ulitawala zaidi - CCM nao wakaamua kuwachinjia mbali huko kuwakomoa.
Mkuu kwa Taarifa yako tu, huyu Mama Josephine Yupo vizuri kuliko hata huyo Salum Mwalimu, au Kego Masha. Kwahiyo sijaona Tatizo katika Kuchagua, ingawa kilichonishangaza ni ma CCM kuchagua wanawake wote, walikua wamejipanga kuwanyima wanaume Kura Makusudi.
 
Bado Chadema wamecheza karata zao very wrongly! Kwa akili yao waliwapeleka akina mama "dhaifu" kwa matarajio CCM ingewa-reject in favor of the men. Huwa sielewi ni kwa vipi kwa miaka yote hii bado Chadema hawajaelewa hadaa, dharau, na fitna za CCM. Walitakiwa wapeleke the strongest candidates ever wa jinsia zote. Siamini kwamba chama hakina watu 6 aina hiyo; ni ulafi ulitawala zaidi - CCM nao wakaamua kuwachinjia mbali huko kuwakomoa.

Wala hawajacheza KARATA za CCM naona CDM wamewaweka pazuri sana CCM.Na sidhani kama hao wamama hawana uwezo kivile,ninafasi akina MAMA wamepewa na nimatumaini yangu wataitumia vyema kuliko hata hao wanaume
 
Back
Top Bottom