Mguu wa chuma!

aiseee Mungu atunusuru jamani! haya maisha ni maisha kweli, hakuna mjanja wa kujigawia ridhiki watu tunapenda maisha mazuri lakini Mungu anagawa kadri anavyoona yeye inafaa. anatia huruma mwenye mguu wake huo jamani!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…